umevurugwa na mwenye degree ama ?
Swala sio kavurugwa ila huo ndio ukweli. Wanawake mliosoma mna maudhi sana nyie kila kitu mnakijua nyie, mume hana nafasi yake yaani nyie ndio mnataka msikike na mnaojua haki za wanawake na haki zenu kwenye ndoa.
Huwaga nawashangaa sana na kuwaonea huruma manake kumbe muda mwingine ndoa inahitaji mtu kuwa mnyenyekevu na mwenye mapenzi ya dhati.
Wee mumeo akivua kiatu kikinuka utaskia nenda kanawe miguu bwana inanuka wakati akienda kwa ngumbaru avuliwa viatu na kuoshwa miguu wafikiri kesho hata mkumbuka ngumbaru wake?
Kupika kwenyewe majanga ukiulizwa mara ya mwisho kupika msosi wa maana kwa mumeo utaskia sikumbuki, lakin akienda kwa ngumbaru wake kila siku anakutana na msosi uliopikwa na unaoliwa kwa staili tofauti, mara leo mkekani, mara leo mezani, mara leo sakafuni alimradi hazoei ama hakinai.
ukiulizwa mara ya mwisho kumpaka mumeo mafuta wala hata hukumbuki lakini kwa ngumbaru mie kila nikitoka kumkogesha nampaka mafuta, namkata akucha kwanini asining'ang'anie??
Kwataarifa yenu wanaume hata huko kubiduka sicho wanachokifwatia kwa ngumbaru ila wanafwata huduma za kimahaba, na kudekezwa, kupewa nafasi ya kupumzika kwa amani, kujaliwa na kauheshimiwa uanaume wao. Huku hakuna kumfokea ama kumwambia siwez huku kila anachokitaka anahudumiwa, utu wake kama mwanaume unathaminiwa, anaheshimiwa na bado dozi ya nguvu anapata isokuwa na mipaka