Haileti maana!!

Haileti maana!!

TheForgotten Genious

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2014
Posts
2,434
Reaction score
3,553
Rais wa nchi na amiri jeshi mkuu kulalamika katika mkutano kwamba wahuni wanamzunguka wanaiba fedha za uma ilihali anawamudu haileti maana kabisa.

Miradi yote katika kila wizara inafahamika ni nani anahidhinisha pesa kwa hatua ya mwisho

Mikataba yote inaeleweka ni lazima ipite kwa mwanasheria mkuu wa serikali

Bado anafahamu hatua zote zinazopitiwa mpaka tender ama manunuzi ya kamilike na zinapitishwa na nani.

Haileti maana kwa yeye kulalamika,,mamlaka anayo yakuweka ndani mtu yeyote yule kwa kufuata protocol why analalama baada yakutumia mamlaka,,ka pwaya

Haileti maana,mtu kama Madilu,AG,hawakutakiwa kuwepo ofisini sasa hivi.

Wanakopa ili wapate kuiba,wanaleta miradi ili wapate sababu yakuibia
 
Mkuu vipi mbon unaachia uzi mfululizo ?
 
Watanzania tunahitaji kubadilisha mfumo wa uongozi kuanzia siasa na utendaji wetu la sivyo habari kama hizi zitakuwa za kila siku.
 
Hii ilipwe ndio invoice tumepokea " stiyupidi"
 
Rais wa nchi na amiri jeshi mkuu kulalamika katika mkutano kwamba wahuni wanamzunguka wanaiba fedha za uma ilihali anawamudu haileti maana kabisa
Kuwamudu kivipi wakati alishawaruhusu wale Ila kila anaekula ale kwa urefu wa kamba aliyonayo mkuu mbon unajichanganya au tukuletee clip ?
 
Miradi yote katika kila wizara inafahamika ni nani anahidhinisha pesa kwa hatua ya mwisho
Hilo linafahamika na lipo wazi hoja yako ni ipi mkuu ? Emu nyoosha maelezo kidogo
 
Rais wa nchi na amiri jeshi mkuu kulalamika katika mkutano kwamba wahuni wanamzunguka wanaiba fedha za uma ilihali anawamudu haileti maana kabisa.

Miradi yote katika kila wizara inafahamika ni nani anahidhinisha pesa kwa hatua ya mwisho

Mikataba yote inaeleweka ni lazima ipite kwa mwanasheria mkuu wa serikali

Bado anafahamu hatua zote zinazopitiwa mpaka tender ama manunuzi ya kamilike na zinapitishwa na nani.

Haileti maana kwa yeye kulalamika,,mamlaka anayo yakuweka ndani mtu yeyote yule kwa kufuata protocol why analalama baada yakutumia mamlaka,,ka pwaya

Haileti maana,mtu kama Madilu,AG,hawakutakiwa kuwepo ofisini sasa hivi.

Wanakopa ili wapate kuiba,wanaleta miradi ili wapate sababu yakuibia
Hata ungekuwa wewe ni director kwenye business yako, ukaajiri watu wa kukusaidia kazi zako; kama uhasibu, masoko, ghala, nk, je, utaweza kujua kila jambo linaloendelea kwenye kitengo husika? Ni vigumu kujua yanayoendelea chini ya kapeti, vinginevyo mtu akutonye. Hata kama Mheshimiwa Rais atawafunga wafujaji, lakini hawezi kuwajua wote! Hao ndio anaowaongelea Rais!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata kama Mheshimiwa Rais atawafunga wafujaji, lakini hawezi kuwajua wote! Hao ndio anaowaongelea Rais!
Hapa umeongea point mkuu labda awafukuze wote kisha aanze na moja, na asimrudishe hata mmoja aliemfukuza
 
Hata ungekuwa wewe ni director kwenye business yako, ukaajiri watu wa kukusaidia kazi zako; kama uhasibu, masoko, ghala, nk, je, utaweza kujua kila jambo linaloendelea kwenye kitengo husika? Ni vigumu kujua yanayoendelea chini ya kapeti, vinginevyo mtu akutonye. Hata kama Mheshimiwa Rais atawafunga wafujaji, lakini hawezi kuwajua wote! Hao ndio anaowaongelea Rais!

Sent using Jamii Forums mobile app
Kujua hutaweza but take action when you had realised that something wrongly was done by some one whom you exactly know and you manage him
 
Pigaaaaaaaaaa chiniiiiiiiiiiii haoooo, ngoja tupaze sauti zetu, Mh. Rais wetu, usicheke nao hao, majitu mazoefu hayo ktk upigaji.
 
hoja achukue maamuzi nasio kulalamika pale,haileti maana
Kwa hio mama anabwata bwata tu bila action yoyote badala ya kuwatimua mmoja mmoja tena kwa kuwataja na majina kua wewe fulani bin fulani upo kingengo fulani kuanzia leo nakufuta kazi usionekane ofisini chukua kilicho chako ondoka katafute kazi nyingine ya kufanya, ndio unataka afanye hivyo au sio mkuu ?
 
“Hatuwezi kuwa na taifa la kulalamika, wananchi wanalalamika, viongozi wanalalamika.. lazima awepo mtu anaeweza kuchukua maamuzi magumu,” alisema Lowassa
 
Mm naona huyu mgeni aliyekuja jana usiku kaharibu huu mjadala,au walipanga iwe hivyo?🤔🤔. Nawaambia watanzania ukweli yaliyosemwa jana na mama pale kwenye kupokea ripoti hakuna atakaeng'oka kwa hiyari na mama mwenyewe ndo hivyo tena upole utafikiri bibi analea wajukuu,kila wakiharibu utaskia "acha nitakuchapa" na inaishia hivyo.
 
Pigaaaaaaaaaa chiniiiiiiiiiiii haoooo, ngoja tupaze sauti zetu, Mh. Rais wetu, usicheke nao hao, majitu mazoefu hayo ktk upigaji.

Mama anacheka na NYANI na sasa karibu atavuna mabua!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom