Haikubaliki!

Bhavick

JF-Expert Member
Sep 21, 2011
314
57
Kama sio upendeleo wa serikali yetu kwa wakristo ni nini?

(a)Kwa nini sensa ifanyike jumapili na siyo ijumaa?
(b)kwa nini kila uchaguzi unafanyika Jumapili?
Huu ni upendeleo wa wazi wa serikali ye2 kwa wakristo!
HAIKUBALIKI!
 
Kwanini ijumaa kazi zinafanyika kama kawa...teh teh teh, andamaneni lol
 
Hivi hii thread inastahili kuwepo kwenye hili jukwaa au mi ndo nimechanganyikiwa, ok ni kweli inastahili kwa sababu ni joke + gosp
 
Back
Top Bottom