Haijawahi kutokea Duniani, Katiba ikawa kikwazo!

Barbarosa

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2015
Posts
22,583
Reaction score
27,838
Hili utalisikia Tanzania na Afrika Kusini mwa Sahara tu, kwamba watu wanalaumu Katiba kwa kushindwa kwao kuendesha nchi, wanalaumu Katiba kwa umaskini wao, hili sijawahi kulisikia jamii yoyote ile, mtu mwenye high IQ ata excel popote pale hata umpeleke Jangwani!

Wazungu walikuja kwetu Afrika kulikuwa na Mapori, wakapanga Miji, wakajenga nyumba bora, Shule, Miundo mbinu, Umeme, Maji, bila ya kuwa na Katiba yoyote ya maana kwanza ilikuwa ni udikteta pure, lkn leo tunalaumu kipande cha karatasi kwa kila kitu, kwanza sidhani hata kama tunaelewa maana ya Katiba!

Ndiyo maana nchi kama Cuba pmj na yote na ukomunisti wao lkn hkn mtu anakufa njaa, hkn absolute poverty kama kwetu, matibabu ni top, hkn Kiongozi wa Cuba anakwenda kutibiwa Ulaya kama sisi Nyerere amefia London kwa jamii nyingine ni AIBU lkn kwetu ni sifa, Raisi wa Nigeria amekaa Ulaya kwa matibabu sijui hata miezi mingapi au Tanzania wote tunakimbilia India kutibiwa, sasa kwa nini? Ni kipi India wanacho ambacho sisi hatuna mpaka tuwaamini hivyo?

Nchi ya watu milioni 40 tunashindwa kujipanga kutoa Madaktari, Wauguzi, na wataalamu wengine halafu tunasingizia Katiba?

China wako watu 1.4 billion hkn uchaguzi wala vyama vingi lkn hkn mtu anakufa njaa, sisi nchi ya watu milioni 40 inatushinda kuendesha tunalaumu Katiba, kisa eti sijui tume huru mara sijui Mahakama, sasa Wachina wamewezaje kuwa global power kama hilo ni tatizo la umaskini wetu?

Singapore ina Katiba kama yetu tena yetu ni afadhali lkn Singapore imetoka kuwa poor country kwenda kuwa first world country kwa Katiba hii hii kama yetu, sasa wamewezaje?

Kama swala ni kubadilisha vyama vya Siasa, Japani wanaongozwa na Chama kimoja tangu mwaka 1945 yaani hawajawahi kubadilisha Chama lkn ni nchi tajiri Duniani, sasa wamewezaje?

Haya sasa nasikia wengine wanamlaumu Magufuli kwa kushindwa kwao maisha, hivi kabla ya Magufuli maisha yako na ukoo wako yalikuwaje? Magufuli ameanza kuongoza Tanzania mwaka 2015, kabla ya hapo tulikuwa first World country?

Hivyo ukiniuliza mimi, it's the IQ, Stupid!

Mtu yoyote anayesingizia Katiba kwa umaskini wake ni Mvivu ni kama vile tunavyosingizia ukame tunapokosa chakula wkt ukweli ni kwamba siyo kwamba hakuna mvua bali zinakuwa zimechelewa tu,na hili tunalijua kwani siyo mara ya kwanza mvua kuchelewa hivyo ni swala la kujipanga tu wkt huo huo Mito, Maziwa yetu yote yamejaa Maji, ...
 
Hili utalisikia Tanzania na Afrika Kusini mwa Sahara tu, kwamba watu wanalaumu Katiba kwa kushindwa kwao kuendesha nchi, wanalaumu Katiba kwa umaskini wao, hili sijawahi kulisikia jamii yoyote ile, mtu mwenye high IQ ata excel popote pale hata umpeleke Jangwani!

Wazungu walikuja kwetu Afrika kulikuwa na Mapori, wakapanga miji, wakajenga nyumba bora, Shule, Miundo mbinu, Umeme, Maji, bila ya kuwa na Katiba yoyote ya maana kwanza ilikuwa ni udikteta pure, lkn leo tunalaumu kipande cha karatasi kwa kila kitu, kwanza sidhani hata kama tunaelewa maana ya Katiba!

Ndiyo maana nchi kama Cuba pmj na yote na ukomunisti wao lkn hkn mtu anakufa njaa, hkn absolute poverty kama kwetu, matibabu ni top, hkn Kiongozi wa Cuba anakwenda kutibiwa Ulaya kama sisi Nyerere amefia London kwa jamii nyingine ni AIBU lkn kwetu ni sifa, Raisi wa Nigeria amekaa Ulaya kwa matibabu sijui hata miezi mingapi au Tanzania wote tunakimbilia India kutibiwa, sasa kwa nini? Ni kipi India wanacho ambacho sisi hatuna mpaka tuwaamini hivyo?

Nchi ya watu milioni 40 tunashindwa kujipanga kutoa Madaktari, Wauguzi, na wataalamu wengine halafu tunasingizia Katiba?

China wako watu 1.4 billion hkn uchaguzi wala vyama vingi lkn hkn mtu anakufa njaa, sisi nchi ya watu milioni 40 inatushinda kuendesha tunalaumu Katiba, kisa eti sijui tume huru mara sijui Mahakama, sasa Wachina wamewezaje kuwa global power kama hilo ni tatizo la umaskini wetu?

Singapore ina Katiba kama yetu tena yetu ni afadhali lkn Singapore imetoka kuwa poor country kwenda kuwa first world country kwa Katiba hii hii kama yetu, sasa wamewezaje?

Kama swala ni kubadilisha vyama vya Siasa, Japani wanaongozwa na Chama kimoja tangu mwaka 1945 yaani hawajawahi kubadilisha Chama lkn ni nchi tajiri Duniani, sasa wamewezaje?

Haya sasa nasikia wengine wanamlaumu Magufuli kwa kushindwa kwao maisha, hivi kabla ya Magufuli maisha yako na ukoo wako yalikuwaje? Magufuli ameanza kuongoza Tanzania mwaka 2015, kabla ya hapo tulikuwa first World country?

Hivyo ukiniuliza mimi, it's the IQ, Stupid!

Mtu yoyote anayesingizia Katiba kwa umaskini wake ni mvivu ni kama vile tunavyosingizia ukame tunapokosa chakula wkt ukweli ni kwamba siyo kwamba hakuna mvua bali zinakuwa zimechelewa tu,na hili tunalijua kwani siyo mara ya kwanza mvua kuchelewa hivyo ni swala la kujipanga tu wkt huo huo Mito, Maziwa yetu yote yamejaa Maji, ...
BIG UP. Nimeipenda hii. Nyumbu kama kawaida hawatafika hapa kutoa maoni yao.
 
Boss Barbosa Kwanini nyumbani kwako au unapoishi unaweka au kuna Sheria?? Au unataka kuniambia nyumbani kwako hakuna Mwongozo wowote au sheria au utaratibu wowote, kila mtu anafanya atakalo na apendalo wakati wowote??

Kwanini Nchi au Taasisi wanaweka Sheria au Miongozi au Mipango???

Katiba ni kama mwongozo au sheria au mpango ambao jamii imejiwekea. Ili Taifa liweze kuendelea, ni budi kuwa na mwongozo au mikakati ambayo imejiwekea kwa muda fulani, uwe muda mfupi au mrefu.

Wahenga walisema, Mali bila ..., hupotea bila ... !!!

My Take: Katiba na Sheria za Nchi ziheshimiwe.

IQ yako ndogo, kwa hiyo aongeze bila kufuata katiba? Hata rais tramp analaumiwa acha ukilaza.
 
Haya sasa nasikia wengine wanamlaumu Magufuli kwa kushindwa kwao maisha, hivi kabla ya Magufuli maisha yako na ukoo wako yalikuwaje? Magufuli ameanza kuongoza Tanzania mwaka 2015, kabla ya hapo tulikuwa first World country?

Hivyo ukiniuliza mimi, it's the IQ, Stupid!

Mtu yoyote anayesingizia Katiba kwa umaskini wake ni mvivu ni kama vile tunavyosingizia ukame tunapokosa chakula wkt ukweli ni kwamba siyo kwamba hakuna mvua bali zinakuwa zimechelewa tu,na hili tunalijua kwani siyo mara ya kwanza mvua kuchelewa hivyo ni swala la kujipanga tu wkt huo huo Mito, Maziwa yetu yote yamejaa Maji, ...[/QUOTE]

Aliowavunjia nyumba zao, hajavuruga maisha yao. Aliowafukuza kazi wakati alikuwa watafutie njia mbadala kwa sababu ni watu wake. Yeye kawatupa kama takataka kwenye dast been. Mbona wengine wanaambiwa watapangiwa kazi nyingine. Kumbukeni huyu mtu mlimtumia muda mrefu na nguvu zake zimepungua leo hii unamwita feki akafanyekazi kazi gani? Halafu wewe unamwita ni mvivu. Haja watendea haki hata kidogo. Acheni unafiki hausaidii.

Mi ninaonge hivyo kwa sababu ninawaona wanavyohangaika. Wahenga wanasema yasikie kwa mwenzio yasije kwako.

Acha na wengine waendelee nimegusa kwenye maisha ya watanzania wenzangu.
 
Tangu awamu hii iingie nashuhudia kiwango cha akili na uelewa wa wanakwaya wa ccc unazidi kupungua kwa kiwago cha kutisha, yaani mmefika kiwango sasa mnatamani nchi iongozwe bila katiba? Mmesahau iliyompa hayo madaraka mtu wenu ni katiba? Kwa hiyo mnataka tuongozwe na katiba ya ccc?
Mawazo yenu,akili yenu,matamanio yenu yamejaa fikra za kijima,kipumbavu na kutawaliwa na akili ya kuratibiwa.
Yawapasa mjue sisi kama taifa tumejengwa juu ua kwenye msingi wa katiba,bila katiba hakuna kitu kinaitwa Rais,Bunge,Mahakama ama serikali kwa ujumla wake.
Bila katiba kuna Masanja,Mwakajonga,Muhando na kila mtu na sheria na taratibu za nyumbani kwake na baada ya hapo tunaishi kwa utaratibu wa Rule of the jungle mwenye nguvu ndie Mwenye haki ya kuishi na kutawala mwisho napigia mstari utafiti wa twaweza kuwa kura za Ccc huwa zinatokana na Kundi la vipofu.
 
naunga mkono hoja...
Katiba sio kichocheo cha maendeleo, bali katiba ni hitaji la wanasiasa ili ikiwezekana iwawekee mazingira mazuri ya wao kutimiza ndoto zao.
ndio maana umoja wa katiba uliimarika wakati wa mijadala ya katiba lilipokuja suala la uchaguzi(kutimiza ndoto zao) ulisambaratika na kujiua unachokiona sasa ni mabaki dhaifu ya umoja huo
 
Mkuu umeongea pointi ya msingi sana kwa leo.

Ila nchi ulizozitolea mifano zilifanikiwa kwa sababu ya uzalendo wa viongozi wao kwanza.

Mfano wako wa pili kuhusu Japan kuwa chini ya utawala wa chama kimoja since 1945 na kuwa na maendeleo unadhani Tanzania yetu tungesonga mbele tukawa kama Japan tungekuwa na makelele hayo? Hata kama yangekuwepo sio kama haya ya sasa maana sasa hivi hauwezi kujilinganisha na nchi fulani yenye chama kimoja wakati haulingani nayo kwa maendeleo hata robo.

Hatukatai utawala wa chama kimoja ila je mnafikia yale malengo ambayo mnajiwekea ndani chama cheni kuhusu maendeleo ya nchi yetu. Kwa nini watu wasihoji kuhusu mabadiliko ya kiutawala?

Watanzania wanahitaji maendeleo na sio kuoneshana ubabe wa kutawala.
 
Haya sasa nasikia wengine wanamlaumu Magufuli kwa kushindwa kwao maisha, hivi kabla ya Magufuli maisha yako na ukoo wako yalikuwaje? Magufuli ameanza kuongoza Tanzania mwaka 2015, kabla ya hapo tulikuwa first World country?

Hivyo ukiniuliza mimi, it's the IQ, Stupid!

Mtu yoyote anayesingizia Katiba kwa umaskini wake ni mvivu ni kama vile tunavyosingizia ukame tunapokosa chakula wkt ukweli ni kwamba siyo kwamba hakuna mvua bali zinakuwa zimechelewa tu,na hili tunalijua kwani siyo mara ya kwanza mvua kuchelewa hivyo ni swala la kujipanga tu wkt huo huo Mito, Maziwa yetu yote yamejaa Maji, ...

Aliowavunjia nyumba zao, hajavuruga maisha yao. Aliowafukuza kazi wakati alikuwa watafutie njia mbadala kwa sababu ni watu wake. Yeye kawatupa kama takataka kwenye dast been. Mbona wengine wanaambiwa watapangiwa kazi nyingine. Kumbukeni huyu mtu mlimtumia muda mrefu na nguvu zake zimepungua leo hii unamwita feki akafanyekazi kazi gani? Halafu wewe unamwita ni mvivu. Haja watendea haki hata kidogo. Acheni unafiki hausaidii.

Mi ninaonge hivyo kwa sababu ninawaona wanavyohangaika. Wahenga wanasema yasikie kwa mwenzio yasije kwako.

Acha na wengine waendelee nimegusa kwenye maisha ya watanzania wenzangu.[/QUOTE]

Nitakujibu maswali yako kwa kumtumia Ben Carson ambaye ni Waziri wa makazi USA na pia ni Surgeon mstaafu, alisema ukimchukuwa intelligent man from middle class ukamnyang'anya kila kitu na kumfanya aishi barabarani ukija baada ya miaka michache hautamkuta hapo barabarani ulipomuweka bali atakuwa amepanda ngazi, hivyo hivyo kama wewe ni intelligent man haijalishi umetupwa mazingira gani itachukuwa muda lkn utatoka tu, hivyo haingii akilini kukosa chakula miaka nenda rudi kwa Kisingizio cha ukame na Katiba!
 
Tangu awamu hii iingie nashuhudia kiwango cha akili na uelewa wa wanakwaya wa ccc unazidi kupungua kwa kiwago cha kutisha, yaani mmefika kiwango sasa mnatamani nchi iongozwe bila katiba? Mmesahau iliyompa hayo madaraka mtu wenu ni katiba? Kwa hiyo mnataka tuongozwe na katiba ya ccc?
Mawazo yenu,akili yenu,matamanio yenu yamejaa fikra za kijima,kipumbavu na kutawaliwa na akili ya kuratibiwa.
Yawapasa mjue sisi kama taifa tumejengwa juu ua kwenye msingi wa katiba,bila katiba hakuna kitu kinaitwa Rais,Bunge,Mahakama ama serikali kwa ujumla wake.
Bila katiba kuna Masanja,Mwakajonga,Muhando na kila mtu na sheria na taratibu za nyumbani kwake na baada ya hapo tunaishi kwa utaratibu wa Rule of the jungle mwenye nguvu ndie Mwenye haki ya kuishi na kutawala mwisho napigia mstari utafiti wa twaweza kuwa kura za Ccc huwa zinatokana na Kundi la vipofu.

Sawa swali ni kwamba kama Raisi Magufuli hawafwati Katiba na ndiyo maana wewe ni masikini ina maana waliopita ambao walikuwa wanafwata Katiba tulikuwa matajiri? Je maisha yetu yalikuwa bora kabla ya Raisi Magufuli?
 
Mkuu haujaelimika hao wazungu walikuja na katiba hizo enzi unazozizungumzia
 
Boss Barbosa Kwanini nyumbani kwako au unapoishi unaweka au kuna Sheria?? Au unataka kuniambia nyumbani kwako hakuna Mwongozo wowote au sheria au utaratibu wowote, kila mtu anafanya atakalo na apendalo wakati wowote??

Kwanini Nchi au Taasisi wanaweka Sheria au Miongozi au Mipango???

Katiba ni kama mwongozo au sheria au mpango ambao jamii imejiwekea. Ili Taifa liweze kuendelea, ni budi kuwa na mwongozo au mikakati ambayo imejiwekea kwa muda fulani, uwe muda mfupi au mrefu.

Wahenga walisema, Mali bila ..., hupotea bila ... !!!

My Take: Katiba na Sheria za Nchi ziheshimiwe.

Je wakati zinaheshimiwa kama mnavyodai kipindi cha nyuma Nyerere, Mwinyi, Mkapa na Kikwete, tulikuwa nchi tajiri? Je kulikuwa na mahitaji yote ya msingi kama hilo ndiyo tatizo?
 
Sawa swali ni kwamba kama Raisi Magufuli hawafwati Katiba na ndiyo maana wewe ni masikini ina maana waliopita ambao walikuwa wanafwata Katiba tulikuwa matajiri? Je maisha yetu yalikuwa bora kabla ya Raisi Magufuli?

leo tupo pamoja mkuu,haya ndio mambo ya kuleta,sio kuwa attack Chadema,lol
 
Hakika mkuu una mahaba na Magufuli. Unawezaje kuwaza haya uwazayo aisee.
 
Hili utalisikia Tanzania na Afrika Kusini mwa Sahara tu, kwamba watu wanalaumu Katiba kwa kushindwa kwao kuendesha nchi, wanalaumu Katiba kwa umaskini wao, hili sijawahi kulisikia jamii yoyote ile, mtu mwenye high IQ ata excel popote pale hata umpeleke Jangwani!

Wazungu walikuja kwetu Afrika kulikuwa na Mapori, wakapanga miji, wakajenga nyumba bora, Shule, Miundo mbinu, Umeme, Maji, bila ya kuwa na Katiba yoyote ya maana kwanza ilikuwa ni udikteta pure, lkn leo tunalaumu kipande cha karatasi kwa kila kitu, kwanza sidhani hata kama tunaelewa maana ya Katiba!

Ndiyo maana nchi kama Cuba pmj na yote na ukomunisti wao lkn hkn mtu anakufa njaa, hkn absolute poverty kama kwetu, matibabu ni top, hkn Kiongozi wa Cuba anakwenda kutibiwa Ulaya kama sisi Nyerere amefia London kwa jamii nyingine ni AIBU lkn kwetu ni sifa, Raisi wa Nigeria amekaa Ulaya kwa matibabu sijui hata miezi mingapi au Tanzania wote tunakimbilia India kutibiwa, sasa kwa nini? Ni kipi India wanacho ambacho sisi hatuna mpaka tuwaamini hivyo?

Nchi ya watu milioni 40 tunashindwa kujipanga kutoa Madaktari, Wauguzi, na wataalamu wengine halafu tunasingizia Katiba?

China wako watu 1.4 billion hkn uchaguzi wala vyama vingi lkn hkn mtu anakufa njaa, sisi nchi ya watu milioni 40 inatushinda kuendesha tunalaumu Katiba, kisa eti sijui tume huru mara sijui Mahakama, sasa Wachina wamewezaje kuwa global power kama hilo ni tatizo la umaskini wetu?

Singapore ina Katiba kama yetu tena yetu ni afadhali lkn Singapore imetoka kuwa poor country kwenda kuwa first world country kwa Katiba hii hii kama yetu, sasa wamewezaje?

Kama swala ni kubadilisha vyama vya Siasa, Japani wanaongozwa na Chama kimoja tangu mwaka 1945 yaani hawajawahi kubadilisha Chama lkn ni nchi tajiri Duniani, sasa wamewezaje?

Haya sasa nasikia wengine wanamlaumu Magufuli kwa kushindwa kwao maisha, hivi kabla ya Magufuli maisha yako na ukoo wako yalikuwaje? Magufuli ameanza kuongoza Tanzania mwaka 2015, kabla ya hapo tulikuwa first World country?

Hivyo ukiniuliza mimi, it's the IQ, Stupid!

Mtu yoyote anayesingizia Katiba kwa umaskini wake ni mvivu ni kama vile tunavyosingizia ukame tunapokosa chakula wkt ukweli ni kwamba siyo kwamba hakuna mvua bali zinakuwa zimechelewa tu,na hili tunalijua kwani siyo mara ya kwanza mvua kuchelewa hivyo ni swala la kujipanga tu wkt huo huo Mito, Maziwa yetu yote yamejaa Maji, ...
FB_IMG_1504503412971.jpg

Acha uzwazwa
 
Back
Top Bottom