lipingangogolo
Senior Member
- Dec 28, 2016
- 119
- 70
Bado kidogo watanzania tutaongea rugha moja
Hata mimi napata mashaka sana ukiangalia kwa kina nchi imeporomoka sema wanaangalia namna ya kutuchota akili huku wakijaribu kunusuru situation, lakini tatizo ni tatizo linazidi na kuzidiNina imani kubwa na serikali hii lakini kwa hoja yako mashaka yanaanza kuongezeka kwenye maigizo na uhalisia!
Huyo njaa Kali,forecast nzuri ni ile isiyozidi 10%,atakuwa kasomea ujingaNimesikia redioni asubuhi (sijui ni Dr. Bana) akisifia na kusema kuwa haijawahi kutokea popote duniani predictions zikawa sawa na reality. Napenda tu kumkumbusha kuwa prediction nzuri haipungui 95% ambayo ni sawa na ikifika 90% basi ni worst, sasa ukisema 35% basi kama unajiita dokta inabidi uachie hata waganga wa kienyeji wajaribu!
Issue sio kufika au kuhesabu miaka, issue ya msingi ni je tunafikaje? Huwezi kufika ndugu kwa kutekeleza bajeti kwa asilimia 2 katika sekta inayochuka watanzania 80%!!! This is a big joke.Tutafika tu hakuna sababu ya kukatishana tamaa.Nyie mnaobeza ebu takwimu za budget za maendeleo za miaka 5 nyuma na % zilizopatikana.
badala ya kujibu hoja utaitwa mchochezi
Kwa mujibu wa Waziri wa Fedha Dkt. Philip Mpango, kati ya Tsh.11.3 Trilioni zilizopangwa kwa ajili ya miradi ya maendeleo kwa mwaka wa fedha 2016 -2017, mpaka sasa zimetolewa Tshs. Trilioni 3.9 tu ambazo ni sawa na asilimia 34 (34%) ya utekelezaji wa bajeti nzima. Hiyo ina maana, bajeti ya Maendeleo ya mwaka fedha uliopita, IMEFELI kwa asilimia 66. View attachment 488306
Huyo msaka tonge, mpuuze...hiyo bajeti inayopendekezwa, kama kuna mwenye data za exchange rate mwaka jana zidisha na dollar kwa sasa alafu tuone kama kuna tofauti! Nahisi ni kitu kilekile.
Nimesikia redioni asubuhi (sijui ni Dr. Bana) akisifia na kusema kuwa haijawahi kutokea popote duniani predictions zikawa sawa na reality. Napenda tu kumkumbusha kuwa prediction nzuri haipungui 95% ambayo ni sawa na ikifika 90% basi ni worst, sasa ukisema 35% basi kama unajiita dokta inabidi uachie hata waganga wa kienyeji wajaribu!
Au tunataka Vyeti