SONGOKA
JF-Expert Member
- Mar 8, 2012
- 1,841
- 1,843
Maamuzi yote mazito katika taasisi za umma huamuliwa katika vikao vya board, na kuna baadhi ya board ziligeuka management wakati wa JK.
Swali ni, Inakuwaje wakurugenzi wanatumbuliwa na kushtakiwa, lakini board zinavunjwa tu then inaishia hapo?
Hivi unamtumbuaje mkurugenzi kwa mfano kwa kuiingizia hasara serikali wakati uamuzi husika ulifanywa na Board then mwenyekiti wa board unamuacha mtaani akitanua tu??
Haiingii akilini hii, labda tusaidiane wakuu.