Haiingii akilini kwamba wameiba pesa; mkurugenzi wa fedha na biashara bado wako ofisini

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
56,667
30,585
Mwemye akili timamu atanielewa hiilii

Aikuingii akilini wanasema meneja wa fedha aliiba mil 750. Alafu yule mkurugenzi wake bado anaendelea kujisaidia ofisini

Yule mkurugenzi wa biashara nae aanaendelea kuwepo ofisini..hizo tkt mkurg wa biashara akuwa anajua stoke zake?? Na kama alijua iweje asiwe anahakikiki kila mwezi zimeuzwa ngap zimebaki ngapi??

Ndioo maana wanasema mmemtia mimba yule mtoto wa watu lakini wacheza dili wako ofisini bado na hizo pwd iweje meneja apewe na mwaka mzima mkurugenzi hajaona fedha za tkts..??Bado aendelee kukaa kimya tu?

Embu Prof. rudini mkahakikiki nini kimeendelea na habari zilizotufikia travel agency ile kampuni ilioshukiwa imekubali kulipa hizo hela zilizopotea

Mh waziri hao waliobakia nao watoke hata kama wamemsucrifice huyo meneja nawao wanahusika asilimia kubwa tu waende
 
Wasomi wetu wote wako kisiasa tu ndio maana kwa Msomi anayefuata ethics za kazi yake ni vigumu kufanya kazi Serikalini aka last longer. Ni Sawa na Mkurugenzi wa Precision air arelax tu ticket ziuzwe bila kupata chochote uone kama patakalika
 
Mwemye akili timamu atanielewa hiilii

Aikuingii akilini wanasema meneja Wa fedha aliiba mil 750. Alafu yule mkurugenzi wake bado anaendelea kujisaidia ofisini

Yule mkurugenzi Wa biashara nae aanaendelea kuwepo ofisini..hizo tkt mkurg Wa biashara akuwa anajua stoke zake?? Nakama alijua iweje asiwe anahakikiki kila mwezi zimeuzwa ngap zimebaki ngapi??

Ndioo maana wanasema mmemtia mimba yule mmtoto Wa watu lakini wacheza dili wako ofisini bado NA hizo pwd iweje meneja apewe NA mwaka mzima mkurg ajaona fedha za tkts..??Bado aendelee kukaa kimya TU?

EMBU PROF RUDINI MKAHAKIKIKJ NN KIMEENDELEA NA HABARI ZILIZOTUFIKIA TRAVEL AGENCY ILE KAMPUNI ILIOSHUKIWA IMEKUBALI KULIPA HIZO HELA ZILIZOPOTEA

MH WAZIRI HAO WALIOBAKIA NAO WATOKEEE HATAKAMA WAMEMSUCRIFICE HUYO MENEJA NAWAO WANAHUSIKA ASILIMIA KUBWA TU WAENDE
Cyber crimes act imetuletea mambo..naona mkuu umeandika kwa kunong'ona
 
Hujasomeka na wengi mkuu maana hatukuelewi unaandika kuhusu nini, nani na alifanya nini, wapi na lini?
 
Mwemye akili timamu atanielewa hiilii

Aikuingii akilini wanasema meneja Wa fedha aliiba mil 750. Alafu yule mkurugenzi wake bado anaendelea kujisaidia ofisini

Yule mkurugenzi Wa biashara nae aanaendelea kuwepo ofisini..hizo tkt mkurg Wa biashara akuwa anajua stoke zake?? Nakama alijua iweje asiwe anahakikiki kila mwezi zimeuzwa ngap zimebaki ngapi??

Ndioo maana wanasema mmemtia mimba yule mmtoto Wa watu lakini wacheza dili wako ofisini bado NA hizo pwd iweje meneja apewe NA mwaka mzima mkurg ajaona fedha za tkts..??Bado aendelee kukaa kimya TU?

EMBU PROF RUDINI MKAHAKIKIKJ NN KIMEENDELEA NA HABARI ZILIZOTUFIKIA TRAVEL AGENCY ILE KAMPUNI ILIOSHUKIWA IMEKUBALI KULIPA HIZO HELA ZILIZOPOTEA

MH WAZIRI HAO WALIOBAKIA NAO WATOKEEE HATAKAMA WAMEMSUCRIFICE HUYO MENEJA NAWAO WANAHUSIKA ASILIMIA KUBWA TU WAENDE
We mtu unaonekana umejiunga zamani kama mimi. Iweje uandike uzi wa aina hii. Maneno hayaeleweki. Hatuelewi unazungumzia nini pamoja na kuanza eti wenye akili watakuelewa.

Unamzungumzia nani na amefanya nini?
 
Wenyewe wamesema ATCL na ndege yao.
 
We mtu unaonekana umejiunga zamani kama mimi. Iweje uandike uzi wa aina hii. Maneno hayaeleweki. Hatuelewi unazungumzia nini pamoja na kuanza eti wenye akili watakuelewa.

Unamzungumzia nani na amefanya nini?
We n bwege soma hdn kwanza achankukurupuka NA siolazima ujue kila kitu vingine unasoma unakaa kimya.
 
Back
Top Bottom