Vyakiume tu ndo walobaki
Mkuu kipi kimepelekea kusema jamaa kampotezea bidada? hayo ni mapozi tu inawezekana kunajoto sana, na vibaka
wanaweza kuipitia baiskeli ndo maana kaishikilia wakiwa wanapunga upepo kwa kujipatia kauzingizi kidogo, si ajabu nimchana na
inawezekana ikawa maeneo ya ufukwe wa bahari au ziwa. Ni mtazamo wangu.
Vyakiume tu ndo walobaki
Kwahio nilikuwa nimeenda chaka????
Tukizungumzia wanaume wenye maadili naamini wapo sio kwamba wameisha ila wamepungua tu. Huwezi kuconclude ghafla namna hiyo.
Rudi vidudu utamsoma tu, usiogope mkuu kwani elimu haina mwisho.