Haiba ya Kinana na CCM

Mzigo ulikuwa ni wa kwake sema ni kwa vile nusu ya mapato itahifadhiwa kwa ajili ya uchaguzi 2015!!! Biashara za ubia hizo!! Chezea SSM 2015!!! Kwani umesikia hata yule waziri wa mali asili akithubutu kukohoa!!!! Mwakyembe mwenyewe kimya!!! Ha ha ha!!
 
hapa pagumu mkuu.Hata mimi sigusi.atajibu Mzee mwenyewe.


Aise nimecheka mpaka mbavu zinauma --- ila ni kweli hapa hata uwe mbishi kiasi gani huwezi kutia neno sasa usiishie hapa tazama na simamia haki na ukweli daima na utakuwa huru.
 
Ongezeko la vibaka na machangudoa ni matokeo ya kukosa malezi kwa watoto hasa baada ya baba zao kuwakimbia huo ni mzigo mkubwa kwa taifa; kichwa sio kigumu bali ni tutusa afadhali kiazi

Chama
Gongo la mboto DSM

Siyo kaka kuna wengine baba zao wakiwajimbia lakini sasa ni makatibu wenezi
 
hapo na penyewe utasikia tuunde tumeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee! jamani TANZANIA YETU YA LEO!
 
Wakuu Ritz na chama njooni hapa mje kusaidia kujibu hizi shutuma alizotupiwa huyo jangili wenu
Huu ni muda wa operesheni kamata majangiri wa ruzuku, muache Ritz anakikao cha dharura na Mh Tendwa kwa ufafanuzi wa kisheria zaidi.Kama una ushahidi wa meno ya tembo peleka ofisi ndogo lumumba kwa hatua zaidi na ufuate utaratibu.

Cc: Ritz

Kwa taarifa
 
Hivi kweli utambuzi wa huu ujinga anaofanya mfanyabiashara wa Kimataifa unahitaji kua na Degree ili ujue anachosema ni upumbavu?Tunafahamu katika kusafirisha mizigo hususani ya Kimataifa lazima mwenye mzigo ajaze maelezo yanayomhusu ikiwepo jina kamili na anuani yake ili ikitokea mzigo umepotea kampuni ya insurance iweze kumlipa,sasa iweje huyu jamaa asafirishe kontena zima bila kua na details kama hizi?na kama alijaza kinashindikana nini kuwakamata?Hebu acheni kuona wote ni mapompompo kama nyie.Hata ambaye ni gumbaro hapo anaelewa kinachoendelea ni utapeli tu.Uchunguzi gani mnafanya kama sio tena kuanza kulipana hela za wavuja jasho kama posho zenu!Enough is enough jamani...Tumechoka na huu utapeli wenu CCM
 
 

Acha upimbi jifunze taratibu za usafirishaji kutumia wakala; hata ukienda FEDEX; DHL mwenye mzigo ndiye anaye declare nini anatuma wakala kazi yake ni kusafirisha na hicho ndicho kilichofanyika.

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Aliyemroga you hai na Ndio maana anajitambua alishatengua uchawi wewe Wako hayuko hai angekuhurumia angalau ili ujitambue pia

Na aliyemroga slaa?

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Last edited by a moderator:
Siyo kaka kuna wengine baba zao wakiwajimbia lakini sasa ni makatibu wenezi

Kama baba yake angemkimbia leo hii asingekuwa katibu mwenezi

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Mwanangu Mohamed Mtoi, maswali yako ni ya msingi sana. Yanaonyesha ni jinsi gani viongozi wa CCM wamezoea kutoa majibu ya rejareja na kusababisha taabu na shida kwa wananchi. Hakuna mtu mwenye akili ya kawaida asiyejua jinsi biashara ya pembe za ndovu na faru inavyopigwa vita duniani. Inashangaza sana huyu kiongozi wa chama tawala (CCM) Kinana kujifanya haelewi hili. Kwa nini hajachukua hatua za tahadhari kuionya kampuni yake kutohusika kwa vyovyote vile na biashara hii haramu?

Waswahili wanasema siku za mwizi ni arobaini huu upuuzi utafika mwisho, ni swala la muda tu.
 
Anzeni na slaa yeye anapigania zaidi ukombozi wa hali yake kimaisha

Chama
Gongo la mboto DSM

Mkuu!!..2congee kishabiki!!vp kuhusu MAbosi wako NAPE na MWIGULU...wao wanahitaji maombi ya aina gani?
 
Last edited by a moderator:
Mkuu!!..2congee kishabiki!!vp kuhusu MAbosi wako NAPE na MWIGULU...wao wanahitaji maombi ya aina gani?

Nape na Mwigulu hawahitaji maombi wanayo mapungufu kama binadamu ila ni ya kawaida tu; anayehitaji maombi ni slaa tena anahitaji mengi tu; kuvunja amri za Mungu; amri za kanisa; kuwatupa watoto kimalezi; kuchukua mke halali wa mtu; uwongo uliokithiri yaani maombi ni mengi sana sijui hata tuanze na yapi!

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Last edited by a moderator:

Mkuu chama.
Hebu rudisha akili yako kwenye mstari.

Uliyo ita mapungufu ya Dr Slaa yameathiri vipi mada iliyooko mezani?!
 
Last edited by a moderator:
Jasiri haachi asili. Kinana haachi ujangili kama na CCM wasivyoacha ufisadi. Of coz they're a perfect match.

Kinana alipaswa kuwa amejiuzulu by now lakini ndio kwanza tembo wetu wanazidi kumalizwa na yeye kuzidi kunufaika na mfumo wa kulindana.
 

Hakika ww ni miongoni mwa watu waliolaaniwa na watanzania,watu tunajadili mambo ya maana ww unaleta uselamavi ww choko vipi acha kutumika nyamapori ww.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…