B Bukama Batoko JF-Expert Member Joined Apr 27, 2015 Posts 820 Reaction score 137 Oct 16, 2015 #1 Hii nimeipenda. Huu ndiyo ukweli na uwazi.
B Bukama Batoko JF-Expert Member Joined Apr 27, 2015 Posts 820 Reaction score 137 Oct 16, 2015 Thread starter #3 uclan said: Haitakua Hai Click to expand... Habari ndiyo hiyo. Wee zubaa, ohoooooo! wananchi ndiyo wamesema na wameandika ujumbe huo. Utakuta zubaa mpaka lini? Changamkia fursa.
uclan said: Haitakua Hai Click to expand... Habari ndiyo hiyo. Wee zubaa, ohoooooo! wananchi ndiyo wamesema na wameandika ujumbe huo. Utakuta zubaa mpaka lini? Changamkia fursa.
RGforever JF-Expert Member Joined Apr 3, 2011 Posts 6,877 Reaction score 5,444 Oct 16, 2015 #4 Hii Pia Ni Hai Attachments 1444997459118.jpg 52.4 KB · Views: 750
Mnama JF-Expert Member Joined Oct 13, 2010 Posts 3,227 Reaction score 3,182 Oct 16, 2015 #5 mnajitekenya
B Bukama Batoko JF-Expert Member Joined Apr 27, 2015 Posts 820 Reaction score 137 Oct 16, 2015 Thread starter #6 Mnama said: mnajitekenya Click to expand... Mtekenyo wako huo, mtekenyo wa Hai ni kama walivyoandika wenyewe, Magufuli ni Rais wao
Mnama said: mnajitekenya Click to expand... Mtekenyo wako huo, mtekenyo wa Hai ni kama walivyoandika wenyewe, Magufuli ni Rais wao
Borakufa JF-Expert Member Joined May 26, 2011 Posts 1,503 Reaction score 390 Oct 16, 2015 #7 Hili ni bange limechangwanya na kinyesi cha nyati
B Bukama Batoko JF-Expert Member Joined Apr 27, 2015 Posts 820 Reaction score 137 Oct 16, 2015 Thread starter #8 RGforever said: Hii Pia Ni Hai Click to expand... Tatizo la Mnama ni hili hapa. Yeye anajua tu Geograhia ya nyumbani kwake akidhani ndiyo Hai kama wilaya. Toka kwenye box la fikra wewe.
RGforever said: Hii Pia Ni Hai Click to expand... Tatizo la Mnama ni hili hapa. Yeye anajua tu Geograhia ya nyumbani kwake akidhani ndiyo Hai kama wilaya. Toka kwenye box la fikra wewe.
B Bukama Batoko JF-Expert Member Joined Apr 27, 2015 Posts 820 Reaction score 137 Oct 16, 2015 Thread starter #9 Borakufa said: Hili ni bange limechangwanya na kinyesi cha nyati Click to expand... Nimekubali, kumbe ndiyo kazi wanayoifanya? Kwanini wasichanganyikiwe hawa?
Borakufa said: Hili ni bange limechangwanya na kinyesi cha nyati Click to expand... Nimekubali, kumbe ndiyo kazi wanayoifanya? Kwanini wasichanganyikiwe hawa?
B Bukama Batoko JF-Expert Member Joined Apr 27, 2015 Posts 820 Reaction score 137 Oct 16, 2015 Thread starter #10 Borakufa said: Hili ni bange limechangwanya na kinyesi cha nyati Click to expand... Nimekubali, kumbe ndiyo kazi wanayoifanya? Kwanini wasichanganyikiwe hawa?
Borakufa said: Hili ni bange limechangwanya na kinyesi cha nyati Click to expand... Nimekubali, kumbe ndiyo kazi wanayoifanya? Kwanini wasichanganyikiwe hawa?
D Donkembo Senior Member Joined Aug 10, 2015 Posts 108 Reaction score 11 Oct 16, 2015 #11 . Wanajitekenyaa Hai ni special kwa ukawaaaaa no mo
Werrason JF-Expert Member Joined Nov 5, 2014 Posts 13,223 Reaction score 39,930 Oct 16, 2015 #12 RGforever said: Hii Pia Ni Hai Click to expand... Hii hawataiongelea, watajidai vipofu! Subiri uone