sio dhambi ku-copy na ku-paste,kinachotakiwa watu wacheke tu!copy and paste
sio dhambi ku-copy na ku-paste,kinachotakiwa watu wacheke tu!
umetisha banaa.
Jamaa alipanda taxi akamwambia dereva, zima mziki dini hairuhusu kusikliza nyimbo za kidunia kwasabab wakati wa yesu hakukuwa na redio, dereva akazima halafu akasimamisha gari na kufungua mlango wa abiria. Jamaa akamuuliza Nini tena? Dereva akajibu wakati wa yesu hakukuwa na taxi shuka usubiri punda!
:biggrin::biggrin::biggrin::biggrin::biggrin::biggrin::biggrin::biggrin: