hahahahaa du kweli usafiri wa ndege umevamiwa

hahahahaa du kweli usafiri wa ndege umevamiwa

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
13,053
Reaction score
6,335
asilimia kubwa wanaoteremka kwenye fastjet wanaulizia usafiri wa bodaboda uko wap,punde tu wanapoteremka,sababu bei ya teksi inazidi nauli waliyotumia kwenye ndege
 
Teh teh teh teh teh, hata mi nataka kupanda hiyo fast jet, naomba mnitayarishie boda boda
 
hahahaahaaa!hii kali sana ina nikukmbusha msemo wa "maji hufuata mkondo" hahaha haa haa
 
Teh teh teh teh teh, hata mi nataka kupanda hiyo fast jet, naomba mnitayarishie boda boda

ukiteremka uliza bodaboda utapata,umepanda ndege kwa 48,000 harafu teksi anakwambia umpe 35,000,si bora wachukue bodaboda
 
hiyo ndo safi, imefika wakati usafiri wa anga usiwe anasa bali huduma i like that...
 
Back
Top Bottom