marvin ogochuku
Member
- Jan 27, 2012
- 35
- 3
usinichukie mimi kamchukie kikwete
.
Ila ... karibu JF
usinichukie mimi kamchukie kikwete
Bora umetusaidia maana huu ni ukilaza wa hali ya juu.....Nimempa 'like' yake ya kwanza...na leo ni ijumaa bila shaka nimepata thawabu.
Bora umetusaidia maana huu ni ukilaza wa hali ya juu.....
just a joke bana vp nyinyi
nani akuchukie wewe, nani anakujua, we ni nani katika ulimwengu huu?
naona kama unaanza na kuomba usipate chuki...dah...yaani unajihisi mpaka bas.......sasa povu la nini? na wewe ni nani katika dunia hii kuniuliza maswali hayo???