Baada ya kukaa bongo mzungu
alijifunza maneno matatu
JAMBO,SALAMA NA SAFI SANA. cku
moja alikutana na
#mdau mmoja hivi. Ikawa hiv.
mzungu~ jambo?
Mdau~ sijambo.
mzungu~ salama?
Mdau~ si salama, nimefiwa....
mzungu~ SAFI SANA....
JE WAJUA MDAU ALIFANYAJE?? mimi niliondoka cjui kitu kilichotokea.