Hahahaahaaa!!!!

chongchung

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2013
Posts
14,298
Reaction score
45,087
Mchaga aliona tangazo limeandikwa Mpare Hospital, tunatibu kila ugonjwa kwa laki 1,

tukishindwa tunakupa ww laki 2, mchaga akaitamani ile laki 2, akaenda, akamwambia

Dk Mpare: i hv lost ma sense of taste, Dk Mpare akamwambia nesi, Mpe Mchaga dawa

ya chupa namba 22, nesi akamnywesha Mchaga, Mchaga akashauti STOOOP ni mkojo!

Dk Mpare akwamwambia Mchaga, congrats u hv recovered ur sense of taste.

Mchaga akaumia sn kapoteza laki 1 yake, akajipanga upya akaenda tena hospital,

akamwambia Dk Mpare: I hv lost ma memory, I dont even remember my name.

Dk Mpare akamwambia nesi, mpe Mchaga dawa ya chupa namba 22,

Mchaga akashauti NOOOO dawa ya chupa namba 22 ni mkojo kwa matibabu

ya sense of taste! Dk Mpare akamwambia Mchaga: congrats u hv recovered ur memory.
 
hahahahaha imekaa vyema sana hiyoooo
 
Teh teh teh teh,yani mchaga kila ujanja wake mpare kesha ubaini kitambo bora aishie hapo hapo asiongeze hasara zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…