Gazeti la Mwananchi limepigwa marufuku kuandika mazuri ya CCM, maana leo CCM imeshinda kata 22, wameshindwa kusema hilo badala yake wanaandika CCM IMEPOTEZA VITI VINNE.....tatizo la akili ya kushikiwa........KAMA AMBAVYO VI CDM VITAKAVYOKUJA KUPAMBANA HAPA KUISHAMBULIA THREAD HII....MOODS MSIIUNGANISHE POPOTE TUONGEE KWA UHURU....

wewe na huyo K yenye asali hamna tofauti!Hawa Mwananchi wafungiwe tu ni wazandik na wanafik.
Anaweza kuwa hayupo popote huyo katika makundi hayo!HONEY K??.........seriously?
wewe ni Ke au Me?
KeMe then!!.........read it in English.Anaweza kuwa hayupo popote huyo katika makundi hayo!
Uchaguzi huu umetoa picha halisi ya uchaguzi 2015 Chadema ndo basi tena walie tu hawana chao hata wabunge watakosa