hahaha. Nimecheka sana

hahaha. Nimecheka sana

Dmatiko

Member
Joined
Mar 21, 2013
Posts
26
Reaction score
2
MWALIMU alisinzia
darasani, DOGO
akamfuata na
kumwambia, "Ticha
mbona umetupa zoezi
tufanye alafu
unasinzia??"
MWALIMU: ''Hapana
mimi sijalala!"
DOGO: ''Wafanya nini? Mi
nimekuona unalala..''
MWALIMU: ''Nilikuwa
naongea na MUNGU!''
::KESHO YAKE::
DOGO akasinzia Darasani
wakati somo
linaendelea...
MWALIMU akamuamsha
DOGO, "Yani unathubutu
kusinzia kwenye somo
langu?"
DOGO: "Hapana mwalimu
sijasinzia!"
MWALIMU: "Haya
tuambie basi ulikuwa
unafanya nini? maana
darasa zima limekuona."
DOGO: "Nilikuwa naongea
na MUNGU...
MWALIMU:{Kwa Hasira}
"Enhe...naona unatafuta
viboko! Hebu Tuambie
MUNGU amesemaje???
DOGO: "MUNGU kasema
hakuongea na wewe
Jana!!!"
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom