Hahaha.. Jasiri kweli haachi asili

Namkubali sana huyu msela wangu


Yuko poa sana mkuu ila ndo hivyo anamaliza muda wake na yeye asepe zake
Uongozi umemzeesha sana aliingia akiwa na afya tele na kichwa kina nywele nyeusi sasa hivi ni mvi tupu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…