Hahaha hii Kali!!

Huyu alikuwa anaangalia ngono tu sasa anajua akienda uko anakotaka kupelekwa anafikilia CPU za uko amna sasa anataka kwenda na cpu yake masikini.
 
Huyu ni reflecction ya kizazi cha sasa
 
Church mtu anakwenda kwa hiari yake, vipi tena mpaka kuburuzana???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…