Scorpio Me
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 6,120
- 7,912
*That awkward silence when Abraham and Isaac were walking back home after he tried to sacrifice him.*
Abraham: I love u son
ISAAC: Nyoko
Abraham: I love u son
ISAAC: Nyoko
unaijua biblia? unaijua story ya mzee wetu ibrahim?Ni sijaelewa au
Hujaelewa nini? Abraham alitakiwa amchinje Isack lakini akaokolewa na Mungu... Sasa njia Abraham huyo huyo akamwambia Isack kwamba anampenda... Unategemea majibu yake yawe ya namna gani? Utasemaje unampenda mtu uliyetaka kumchinja?Ni sijaelewa au
Hapo nimekupataHujaelewa nini? Abraham alitakiwa amchinje Isack lakini akaokolewa na Mungu... Sasa njia Abraham huyo huyo akamwambia Isack kwamba anampenda... Unategemea majibu yake yawe ya namna gani? Utasemaje unampenda mtu uliyetaka kumchinja?
Umeelewa?
Lipia basiHapo nimekupata
duLipia basi
Weweee Scorpion wewee*That awkward silence when Abraham and Isaac were walking back home after he tried to sacrifice him.*
Abraham: I love u son
ISAAC: Nyoko
Unataka kumsaidia kulipa..??
Lugha ya malkia inakupiga chenga nini mkuu naona mpaka imetumika ya JPM ndo akili imesoma dahHapo nimekupata
Ha ha hahahahaha yan tena todays Isaac jibu linalomfaa Abraham ni acha ungese dingi achana na mimi