Hahaha, Diamond hapa utatokea wapi?

Hahaha, Diamond hapa utatokea wapi?

AdvocateFi

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2012
Posts
11,492
Reaction score
5,049
Wimbo bora wa mwaka: Je, kuna wimbo bora zaidi ya Mwana?

Wimbo bora wa Afro pop: Je, upi zaidi ya mwana? Au unataka uniambie ule mchiriku wa mdogomdogo kutoka kwa jirani yetu? Hahahaha..

Mtunzi bora wa mwaka: Je, kuna mtunzi bora zaidi ya King aliyetunga Mwana? Au unataka useme mtunzi bora ni yule aliyetunga taarab na Khadija Kopa? hahahhaha..

Collabo bora ya mwaka: Je, kuna collabo bora zaidi ya King na mwanaFA "Kiboko yangu"? Au unataka useme eti ile collabo ya jirani yetu na shetta? Ptuuuuu!

Video bora ya mwaka: Je, kuna video bora zaidi ya ile mwana kutoka kwa King? Au unataka useme video bora ni ile ya jirani yetu ya 'Ntampata wapi' aliyocopy script za video ya 2face?

Mtumbuizaji bora wa mwaka: Je, kuna mtumbuizaji bora hapa nchini zaidi ya King anayekuchapia show za live band kwa sauti halisi tamu, au unataka kusema eti mtumbuizaji bora ni yule jirani yetu anayetumia back vocal na kukata mauono hovyo kama Aisha mashauzi?

Muimbaji bora wa Kiume wa mwaka: Je, nani kama King ambaye amehit bila video na Mwana hadi sasa Chekecha, Au unataka kusema eti ni yule jirani yetu anayebebwa na video za Godfather ambazo anazitoa hata 4 kwa mwez alafu zinachuja zote kwa siku 3 tu? hahahhaha.

TUKUTANE BAADA YA SIKU 1, TUTAHESHIMIANA TU.
 
Uchonifurahisha umempigia debe diamond platnum baby,chibu dangote bila kujijua utalala na viatu mwaka huu..

Endelea Kuota mchana wenzako tunapiga kura nyie mmekalia kutoa video 3 kwa mwezi hahahhaha, mtaelewa tu
 
Hahahaha kwenye tuzo za watu tena 1 imemfanya apanic hadi atoe video 3 kwa siku 1, je baada ya kuchapwa na King kwa tuzo 7 si atatoa movie ya series kabisa hahahhaha

Hahahahaaa tujiandae na movies sasa kutoka kwa bwana chibu.
Kazi kwelikweli.Ile taarab siisikii huku kwetu ajabu hii na huku ndiko hasa taarab zinakobamba!
 
Hahahahaaa tujiandae na movies sasa kutoka kwa bwana chibu.
Kazi kwelikweli.Ile taarab siisikii huku kwetu ajabu hii na huku ndiko hasa taarab zinakobamba!

Hahahaha hatari mkuu, King ni moto mwingine kabisa
 
Cjui mtoa mada umekula maharage ya wap?yanayokuleevya mpk unaropokà Kwa ushaid dhaifu,au umekunywa pombe ya romboo?!
 
Wimbo bora wa mwaka je kuna wimbo bora zaidi ya Mwana?

Wimbo bora wa Afro pop, je upi zaidi ya mwana? Au unataka uniambie ule mchiriku wa mdogomdogo kutoka kwajirani yetu? Hahahaha

Mtunzi bora wa mwaka, je kuna mtunzi bora zaidi ya King aliyetunga mwana? Au unataka useme mtunzi bora ni yule aliyetunga taarab na khadija kopa hahahhaha

Collabo bora ya mwaka, je kuna collabo bora zaidi ya King na mwanaFA "Kiboko yangu"? Au unataka useme eti ile collabo ya jirani yetu na shetta ptuuuuu!

Video bora ya mwaka, je kuna video bora zaidi ya ile mwana kutoka kwa King? Au unataka useme video bora ni ile ya jirani yetu ya ntampata wapi aliyocopy script za video ya 2face?

Mtumbuizaji bora wa mwaka, je kuna mtumbuizaji bora hapa nchini zaidi ya King anayekuchapia show za live band kwa sauti halisi tamu, au unataka kusema eti mtumbuizaji bora ni yule jirani yetu anayetumia back vocal na kukata mauono hovyo kama Aisha mashauzi?

Muimbaji bora wa Kiume wa mwaka, je nani kama King ambaye amehit bila video na mwana hadi sasa chekecha, Au unataka kusema eti ni yule jirani yetu anayebebwa na video za Godfather amabazo anazitoa hata 4 kwa mwez alafu zinachuja zote kwa siku 3 tu hahahhaha.

TUKUTANE BAADA YA SIKU1, TUTAHESHIMIANA TU.

Atatokea alipoingilia.
 
+naona mnajitekenya mnacheka wenyewe, hivi mnachekelea mna raha gani nyie wakati wenzenu huko wamefungua msiba wanamwaga michozi wanalilia video eti ije ishindane na Nana ha haa haaa hizi kweli ndoto za mchana!

+halafu nyie wazee wa kei ni wazee wa kiki tushawastukia hamuwezi kumpa promo mtu wenu bila kumshindanisha na icon ya taifa, kweli Mondi mwaka huu anawapa watu tuzo walizikua wanaziota miaka mingi!
 
Kweli ushabiki ni mbaya hivi kuna nyimbo imehit Zaidi ya nan kama mama?
Hiv ni kweli mwana ni video bora?
Anachofanya diamond ni kuonyesha watu kua anaweza kuimba mziki wa aina yoyote kulingana na mashabiki wake.
 
Back
Top Bottom