hahah Vibuti vyengine bana!! (Single mwaka mzima)

Hivi sana Jf tuwe serious kidogo hivi kuwa na gari ni ishu kubwa? Mbona wanaume wengi wana gari jamani au?
Sio kweli kwamba wanaume wengi wanayo magari. Mssifanye kuwa mtu akisema Ana gari basi ikawa ishu. Hata humu JF sio kweli kwamba majority wana magari.

Nakiuza ki-vitz changu ninunue ndinga

cc: Sweet16
 
😀😀😀 nakataa kwa jina langu mkuu kuna usafiri na kuna ndinga bana hahaha unashuka kwene gari adi unajiskia ulikuwa kwene gari wacha zile baby walker😀😀😀😀😀
Ahsante lakini ndio vinatuweka mjini😆😆😆😆😆
 
Haya bhana. Hongera bibie
Mantiki yangu ni kwamba kuna vitu vya kuvipa hadhi bana hata km kazi yao ni mmoja huwezi eka apo bajaj sjui toyo zile za mzigo na scania tena mende eti kwa vile zote zinabeba mizigo ukaziita gari za mizigo😀😀😀 kila mmoja iitwe kwa nafasi yake eboo😡😡
 
Sio kweli kwamba wanaume wengi wanayo magari. Mssifanye kuwa mtu akisema Ana gari basi ikawa ishu. Hata humu JF sio kweli kwamba majority wana magari.

Nakiuza ki-vitz changu ninunue ndinga

cc: Sweet16
Siamini ktk wanaume tu kumiliki gari, wanawake pia wana magari mnoo tena ya maana...sema ni ulimbukeni tu wanaume wachache akieza kumiliki ata kale ambako wiki haiishi ajaenda garage na yeye haishi kututangazia gari ,gari, ndinga, ndinga, siku ukiiona unaweza ukacheka mpaka Mungu akakuchukua akyanani😀😀😀
 
Ahsante lakini ndio vinatuweka mjini😆😆😆😆😆
Ila sasa mkome kututangazia ndinga, ndinga, kumbe una kagari ata kuna wasichana hawawezi panda kwa kuona aibu bora atembee kwa mguu😀😀😀😀 nakumbuka nlikuwa nadharau kabla hata sjamiliki bajaj lakini vigari vidogo vidogo ivo afu mwanaume anajiona ndo amefiiika ptuuuuuuu
 
Wewe jamaa ume loop CD,Inawezekana ulilazimisha kugegeda kwenye gari mkakamatwa so bint akaku mind au ulipandisha mori wakati unabishana na askari akaziona hasira zako akaona kuna siku utakuja kumuua ukimfumania kama una hasira za hivyo ukizingatia ana vidumu

Au ulikamatwa kwa msala mkubwa na Polisi akashangaa ulivyo na confidence na ulivyozoea misala akajua hapa ni cha kike wewe ni kipusa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwaka mzima umepita dem huna!! iyo gari yako ni gari gani?
 
Nyie ai mnapataka vi baby Walker vyenu kwa ma sponsor siku mkiwazingua tu wanakuja kuwapokonya[emoji3]
 
Nyie ai mnapataka vi baby Walker vyenu kwa ma sponsor siku mkiwazingua tu wanakuja kuwapokonya[emoji3]
Haijawai tokea kwangu nkaishi kwa kumtegemea sponsor.... Wakati bado nkiwa girlfriend sjawa mke....nlifanya mambo mwenyewe hata mwanaume akawa anawaza huyu yukoje?? Nlijenga, nlinunua viwanja, nlinunua gari, tena haikunipendeza akaja kukuta nshauza nkanunua ingine yeye nlikuwa nampa tu za juu juu nimefanya ivo, au mnafanya vile, akisapot ni moyo wake lakini si kumtegemea
 
Bless up ila mpo wachache sana kama nyie asee [emoji122]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…