hahah Vibuti vyengine bana!! (Single mwaka mzima)

Ndinga ni Ndinga tuu, huwez jua amehustler vp mpk kupata mkuu
 
Mmmh hivyo tu akakuacha? Kuna kitu umetuficha mkuu, mbona hapo sioni sababu ya kukuacha??
Au kuna kingine??

Anyway, huyo mpya akikuacha uje unambie nikushauri kituπŸ˜‡
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ nakataa kwa jina langu mkuu kuna usafiri na kuna ndinga bana hahaha unashuka kwene gari adi unajiskia ulikuwa kwene gari wacha zile baby walkerπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
WANAUME SISI TUNATAABU, Tumeumbiwa mateso na sijui lini mta-appreciate effort zetu dah!! #HATA AKIPATA FASTJET UTACRITICIZE WEWE MAANA DAH!!!
 
Wale makachero walifata nn kukuzingua ? Mlimalizana vp ? Kuna kitu umeficha ama hujaeleza vzr hapo !

Dem kukuacha Kuna mambo yalimchanganya, au unaonekana mtu wa mission town, akaona atakuja kuingia matatizon akiendeleza gadem uhusiano na wewe regard less una kipato gani,,,,

Kwa kifupi huyo mwanamke aliconnect docts anaona Bora uhusiano ufe, heshimu maamuz yake take your time buddy!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu kuna vitu umeficha. Hasa sababu gani iliyopelekea huyo mdada kukupiga chini kwani polisi walikukuta na nini mpaka mchuchu akukatae? Haya wadada wa JF changamkieni iPhone 6.

Sent using Jamii Forums mobile app
Labda yule mdada aliona udhaifu wake wakati anabishana na polisi hivyo aliona huyu jamaa hawezi kumlinda

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Afu kaandika ndinga pale nikatamani aweke picha ya ndinga lake apo isije kuwa ni ivi vi raum, ist, passo, sjui ka vits mara sjui CarinaπŸ˜•πŸ˜•πŸ˜•
Mkuu wewe kama unalo v8 usiwadharau wenye raum.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Haya bhana. Hongera bibie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…