[emoji23][emoji23][emoji23]The first country boy
Mungu akikuandikia ameandikaMzee kaifikia peak ya keki ya Taifa kimasihara sana
Kweli mkuu, tuendelee kumuomba kwa kila jambo na pia tuwe na subiraMungu akikuandikia ameandika
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mzee kaifikia peak ya keki ya Taifa kimasihara sana
Very humble manHafidh Ameir, Mume wa Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan alivyowasili Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam kunakofanyika shughuli ya kuuaga mwili wa aliyekuwa Rais John Pombe Magufuli, aliyefariki 17 Machi 2021 kwa matatizo ya mfumo wa umeme wa moyo.
View attachment 1730200