Haelewi afanye nini tafadhali msaidieni

JICHO LA TATU

JF-Expert Member
Sep 28, 2012
306
49
Habari wajameni nina kaka yangu mmoja hivi sasa yeye anatatizo linalomsumbua.Alikuwa na uhusiano na binti mmoja wa Kiarabu katika mahusiano yao binti akapata mimba hivyo akazaa naye mtoto, kwenye maisha yao yote binti alikuwa akiishi kwao kwani wazazi wake walikuwa hawako tayari kuona binti yao anaolewa na mtu wa dini tofauti isitoshe wametofautiana kwa mengi sana binti kwao hali nzuri kaka yangu mie kawaida tu. Sasa jana amepata habari binti amempigia simu anamwambia kuwa wazazi wao wamemtafutia mchumba ambaye ni Mwarabu mwenzao hakuwahi kuwaza kitu kama hicho na huyo mtu walomtafutia hamjui na wamemwambia sio jukumu lake kumjua kinachotakiwa ni ndoa tu, hivyo binti analia amechanganyikiwa, ndoa ni siku yoyote kuanzia wiki ijayo sasa my bro hajui afanye nini, tafadhali naombeni msaada wa mawazo yenu.
 
Ajaribu kwenda kuomba mtoto wake kama atapewa,
Kwani yeye alikuwa hajui kuwa hao jamaa huwa hawapendi kuchanganya madawa kwenye familia zao.
 
c binti atoroke na mwanae waungane na jamaa kujificha mkoa wowote watafute maisha yao, waje kujitokeza baada ya miaka 3, watapokelewa tu.
 
Akubali tu kuolewa ila kaka yako awe anakula mdogo mdogo.
 
Aaamue kusuka au kunyoa! Akitaka Asilimishwe apewe mke! Otherwise amwche binti aolewe, sababu kuishi KISURIA ni dhambi kwa dini zoteeee! Kama ndoa imeshindikana, kheri wazazi walivoingilia kati na kumuokoa mtoto wao na Jehanamu. Watu wameshazaa, hawaoani! Hawaswali! Wapo tuuu wanaendekeza ZINAAA!!!! HAIKUBALIKI KIMAMIII! Binti anavoishi hivo anamkosesha Babake barka, na kumtia huzuni ya bureeeee! ( LEO NIMENUNA MWENYEWE!!! WAARABU ORIGINAL WAMEBAKI WA KUHESABU ALAFU MTU KAPATA CHANSI ANALEGA LEGA!!!!!? Wanetu watapata wapi MACHOTARA?)
 
Tupe siri ya mafanikio ya brother wako maana mbongo kumlamba na kuzaa na mwarabu ni nadra kutokea au braza anasimamia kucha?
 
Hii imenishangaza sababu kwa waarabu mtoto wao azae na mswahili wangemfukuzia huko huko kwako.

Saizi sio wakati wa kutoa ama kuchukua maamuzi yoyote kakako huyo. Kama alikuwa na niya, ubishi ama nguvu yoyote ya kuweza kuwa na huyo mzazi mwenzie ilitakiwa pale pale mwanzo wakati ndio kapata ujauzito. Mtoto ilikuwa ni kigezo kikubwa sana ya yeye kung'ania na kuonesha niya kwa njia mbali mbali, kama kufuata mkondo wa sheria, kama kutumia wazee kwenda kuwasomesha, kama vile yeye mwenyewe kwenda kuwapigia magoti na the like...

Hii inanipa picha kuwa kakako huwa bado anawasiliana na mzazi mwenzie tena kama sikosei yawezekana kuwa hata wanaendeleza bado mahusiano ingawa wamekataliwa kuoana. Kama ni hivo ina maana wote wawili wanajijali wao zaidi kuliko mtoto wao... Kwamba wameweka nguvu kubwa katika kuhakikisha wana mahusiano kuliko katika kujenga familia. La sivyo sidhani kama ingekuwa rahisi kwa huyo dada kupiga simu kumuarifu.

Hata hivyo hapa ushauri ngumu sana... Bado kuna maswali mengi yapo pending. Ingekuwa wewe ndie mhusika walau ingekuwa rahisi.
 
Habari wajameni nina kaka yangu mmoja hivi sasa yeye anatatizo linalomsumbua.Alikuwa na uhusiano na binti mmoja wa Kiarabu katika mahusiano yao binti akapata mimba hivyo akazaa naye mtoto, kwenye maisha yao yote binti alikuwa akiishi kwao kwani wazazi wake walikuwa hawako tayari kuona binti yao anaolewa na mtu wa dini tofauti isitoshe wametofautiana kwa mengi sana binti kwao hali nzuri kaka yangu mie kawaida tu. Sasa jana amepata habari binti amempigia simu anamwambia kuwa wazazi wao wamemtafutia mchumba ambaye ni Mwarabu mwenzao hakuwahi kuwaza kitu kama hicho na huyo mtu walomtafutia hamjui na wamemwambia sio jukumu lake kumjua kinachotakiwa ni ndoa tu, hivyo binti analia amechanganyikiwa, ndoa ni siku yoyote kuanzia wiki ijayo sasa my bro hajui afanye nini, tafadhali naombeni msaada wa mawazo yenu.

Ushauri wa haki ni kuwa asifanye chochote bali aangalie tu zaidi ya ushauri huu basi ni matatizo zaidi.
 
Uchimvi tu....., kama alikuwa anampenda kwa nn asifate njia halali ya kumpata na kumuoa, yy aliona dili kumjaza mimba au? akili zake tope tupu
 
waafrika huolewa na ngozi tofauti but not viceversa.......neva
KAMUULIZA NEY WA MITEGO YALIYOMKUTA MPAKA ANATOA NYIMBO YA HELLO!
 
Back
Top Bottom