no one like you
Member
- Aug 27, 2014
- 43
- 11
najiri akasogea kwangu na kunishika mabegani,ghafla mavazi mazuri ya rangi ya kahawia yaliposhuka na kujivika mwilini yenyewe,kwa kweli mambo yalienda mtindo wa mazingaombwe,ndipo nilipata ruhusa ya kumvisha pete mwanamke mlembo huyo jini najiri,kwa maneno matamu yalijaa mwangwi akisema,sasa unaweza kunivisha pete na kunifanya mkeo'nikashika mkono wake na panapo sehemu husika nikaivalisha pete,naye akachukua yake na kunivisha,kwa kweli baada ya tukio hilo sherehe zikaendelea,tulikula nyama za watu,na kinywaji aina ya damu za binadamu,nyama na damu za binadamu ni tamu sana ukiwa jini ama mchawi,wakati huo majini wengine walikua wakitumbuiza kwa nyimbo nzuri huku yakituzunguka,na waliimba kwa lugha za majini wakisema''ahaulule ulela ,
ahaula ula ulela'ulela ulelah!kwa muda huo nilikua nimepewa uwezo wa kuielewa lugha hiyo,walimaanisha'safari njema na mapenzi mema'safari njema na mapenzi mema'mapenzi mema,mapenzi mema,sherehe ikaendelea ufukweni mwa bahari mpaka alfajiri saa 11,endelea kunifuatilia,inaendelea 5