Hadithi ya kweli ya maisha yangu

Waliosema maisha ni safari ndefu hawakukosea
 
Sawa kaka jambazi
 
Mwaka 2006 kuna dogo wetu mmoja kwa jina la mdogo Chale aliuwawa na makundi ya kihuni akitokea kwenye tamasha CCM Kirumba Mwanza na yeye alikuwa ni mwenyeji wa Musoma
 
Mwaka 2006 kuna dogo wetu mmoja kwa jina la mdogo Chale aliuwawa na makundi ya kihuni akitokea kwenye tamasha CCM Kirumba Mwanza na yeye alikuwa ni mwenyeji wa Musoma
kipindi hicho nilkua bado young ila makundi sio asee na washkaji zangu wamekufa wengi tu
 
nakumbuka umiseta mwaka 2012 kama sikosei uwanja wa karume baada ya kushinda 4 kwa 3 nikiwa kama streka wa Mara boys nilipiga hatrick


Bac ile tunarudi shule nyuma kidogo tu ya ule uwanja walitokea vijana wadogo kama wa 4 ivi na masime wakampokonya mwanafunzi mwenzetu simu na pesa

Wengine tulikua hatujui nini kinaendelea mpaka tuliposikia mikwaruzo ya sime hapo tukagawanyika makundi mawili, waliokua mbele wakakimbilia shuleni sisi wa nyuma tukaanza kukimbia ovyo mjini , wenye hela wakawa wanadandia boda boda kurudi shule cc wengine tunakimbia ovyo tu

Cha kushangaza kuna wazee wanapishana na wale madogo hata hawawasumbui wakawa wanatwambia nyie watoto wagonjwa kweli yani mko mia mnatishwa na watu wanne?

Nakumbuka sana tukio hilo

Sema mtoa mada nataka nikuulize hukuwemo kweli katika hao madogo?
 
😊😊 Me binafsi nilkua muda mwingi tukiteka nakuwa na huyo muhuni mwangu ( r.i.p kwake )
Tena hapo karume huo huo mwaka 2012 kwenye umiseta kuna mademu 4 tuliwateka simu 🤣🤣 sasa wanafunz wengine kuona hivyo walikimbia kila mtu na njia yake.Just imagine tulikua Watu wawili tu
 
Ooh shit kipaji kimepotea hiki lost talent ukwenda hata Toto Africa ahaaaaa hatrick hero
 
dah itakua nlikuona sema sikukujua tu ningekupiga jiwe la mdomo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inaendelea....

Huo Mwaka 2012 ulikuwa mwaka wa matukio kwangu.Ngoja niwasimulie matukio mengine mawili then tuendelee mbele.

Kuna siku moja ( sikumbuki ilikuwa juma ngapi wala mwezi wa ngapi ) Nilkua naenda zangu chimbo kuvuta ndumu.Ndumu tulikua tunaivutia kule Peninsula Beach ( complex ) milimani kule.

Sasa siku hiyo nilikua mwenyewe tu, muhuni wangu alikua maeneo hivi tulihaidiana tukutane chimbo kama kawa me niliwai kwenda Arosto nayo ilikua kubwa.Basi nikivyofika hapo complex nilimkuta bishoo mmoja yupo na demu wake wana enjoy penzi lao, nikajisemea tu " hawa na wamudu vizuri tu" bahat nzuri watu walikuwa wachache tena wako mbali na walipokaa hao Wapendanao.

Nilifika walipokua wamekaa huyo bishoo alikua na kisimu cha batani ( Samsung ) amekishika mkononi nilifika tu nikamnyang' a nilisema tu nimekapenda nakuanza kuondoka nako.Bishoo si akajikosea kunyanyuka kuonesha umwamba mbele ya demu wake, nilimchomolea Zuna nilkua nataka nimpige bapa la shavuni ila yeye alikinga mkono wake Zuna ikawa imemkata nyuma ya mkono wake.Demu akaanza kupiga yowe za mwizi.nilivyoona Mlinzi anakuja na baadh ya watu nika run kuelekea mlimani,wampate nani sasa 😄😄 chocho zote za mlima nilkua nazijua.Nilikimbilia town kwa bibi home nilirud usiku sana.Simu yenyewe niliuza 15000 kwa mdada mmoja alikuwa anaishi jirani na Bibi angu.

Tukio lingine ni ilikua ni Msimu wa Maisha plus cjui ilikua ni season ya ngapi?.Ila siku tulitembelewa na Mgeni kalikua ni kakijana ka barobaro tu ila kana mkwanja.Maana siku hyo alivyokuja aliwapa offer za pombe Mzee wangu na huyo Broh wangu.Jamaa yeye alikuwa kichwa panzi yaani hata glass mbili analewa.Aliniita kunituma vocha sasa nilivyoona zile pesa alizokuwa nazo kwenye wallet yake tamaa ilinikaba nikapanga lazima ni mchomolee ata 10k.

Basi kesho yake ndo nilimpiga tukio.Nilikua nalala naye lakin siku ya tukio nilisema mimi nalala sebuleni kisingizio eti tunabanana.Niliplan kuwa akiwa amelala ni mnyemelee kwenye pensi yake nimchomolee Hela.Na kweli usiku ulivyofika nilitegea asinzie kabisa ndo nifanye yangu.Ilikua mida ya saa 7 kwenda 8 usiku jamaa alikua anakoroma nikasema muda ndo huo.Bahat nzur alikuwa akilala pensi anaiweka kwenye kiti kilichokua pemben mwa kitanda.

Nilinyata kwa umaridadi mkubwa ili hatua zangu hata me mwenyewe nisickie.Nikafika kwenye pensi yake niliichukuua nzimanzima mpka chooni, nikatoa wallet yake nikachukua 43k nikairudisha ilipokua nikarud zangu kulala lakinhela niliificha chini ya Sofa kubwa ili kusikilizia muziki utaendaje kukikucha.

Kesho kulivyokucha nilikua namuona anaikagua wallet yake kama haamin Amini hivi, hakunisemesha ila nahisi alijua nimemfanyia umafia sema tu hakua na uhakika.Siku hiyo hiyo niliona mtu anachukua Begi lake na kurud alipokuwa.Nilifurah cku hyo kupata pesa ya bure bure.

Tutaendelea.......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…