Hadithi ya kweli ya maisha yangu

Sina baya kwako mkuu,,Mungu akutangulie mfunge ndoa na mtoto mzuri
 
Hongera kwa story nzuri. Umesimulia kiume bila maringo.

Ingawa bado umri wako ni mdogo nakushauri fanya taratibu uoe huyo mwanamke maana maisha yenyewe ndio haya haya....
Bora sasa kuliko baadae. Kaka zako tunaelewa mziki wa kughairi maamuzi.

KUDOS
 
Ni kweli kabisa usemaye maisha ni haya itabidi mawazo yako niyafanyie kazi.

Asante sana
 
Big up sana kaka
 
huna baya mwanangu.....kuna lijamaa linaitwa Keagan Paul tuko kulibembeleza huko litupe story lilioianzisha bila kuombwa

mjinga sana yule jamaa

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
😂😂 labda yupo busy, ila alitakiwa ajiandae vya kutosha maana kuleta mtiririko wa story sio mchezo. Hebu ngoja nikamsome na mimi
 
Big up sana
 
Holy kama holy big up kwa story,sasa nakupa mchongo nataka umfanyie tukio jamaa flan keegan paul maana ametusubirisha hatuelewi nn kinaendelea ukishindwa tumpelekee wahuni wetu wa tarime wakamalize kazi
 
Haahhhhhjahhh wadau mna hasira
 
Kila la kheli Waito!!
 
Hongera sana na imekuwa heri kuwa sasa hutamani kuiba tena, ila kuhusu kutapeli nna shaka kuwa umeisha,
Ila mi ni muimbaji nataka unitengenezee beat kama vipi tupatane bei tupige kazi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Stori yako ni nzuri sana imeniburudisha mno,
Asante sana [emoji120]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…