Hadithi ya kweli ya maisha yangu

Mkuu ulivosema Xbox umenifanya niikumbuke Xbox yangu niitoe kabatini nijikumbushie
 
Dah it's a nice story with alots to learn. Ahsante sana mwandishi. Nimejifunza mengi sana hasa malezi ya watoto na ndoa kiujumla. Nimeanza kuisoma hii story yako leo saa 1.37 asubuhi ndo nimemaliza muda huu. Big up sana kaka, kuna sehemu zinahuzunisha, kufurahisha na kufundisha kwa sehemu kubwa. Naendelea kukuombea kwa Mungu azidi kuibariki familia yenu ktk maisha mapya baada ya mikasa hii.
 
Kweli mkoani ndio maana wanaibiwa kiboya, huku Dar ile kwenda tu bafuni lazima mlango ufunge na kufuli...[emoji1787][emoji1787]

Yaani unaenda dukani unapiga stori na unaenda Ziwani unaacha nyumba wazi??[emoji848]
Hivi anazungumzia Dar ipi mkuu!?? Dar hii hii yenye matukio ya kila aina!??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…