Hahahaaa we uliona wapi unaenda kufumaniwa eti unapigiwa simu na dem unaemfuata kumfumania hadi anakuja kukupokeaNimecheka mabishoo walivoingia cha kike na kukutana na watot wa mbwa mwitu wakapotezwa vibaya sana aijulikan waliingilia wapi walichukuklia poa poa tu upanga uka wa kosa kosa
Mkuu ukija kuandika kitabu nitakuwa wa Kwanza kununuashukran tupo pamoja Mkuu
Nimefuatilia kujua kanisa gani hapo Musoma lipo maeneo uliyokuwa unafanyia unyang'anyi na kuambiwa ni Kanisa la waadventista Wasabato Mwisenge, lipo karibu na shule aliyosoma Our Father of Nation late JKN.😂😂 labda me ndo cjui tofaut ya jambazi na mwizi....BTW bado miaka 4 nifike 30 uyank na uaga
Acha unoko jomba, mtu anakusimulia unaanza hadi kumfuatilia, huo ni uchawi, mind yo business, mnawafanya watu waogope hata kushea simulizi zaoNimefuatilia kujua kanisa gani hapo Musoma lipo maeneo uliyokuwa unafanyia unyang'anyi na kuambiwa ni Kanisa la waadventista Wasabato Mwisenge, lipo karibu na shule aliyosoma Our Father of Nation late JKN.
Pia najaribu kutafuta mawasiliano na hilo kanisa niulize malezi yao kwa mshiriki mmoja mmoja yakoje, maana si hali ya kawaida kumpa sifa kijana mdogo kama wewe kusema 'eti' watu wazima wanakukimbia sababu ukipata moto na ukishika panga lazima litumike, NO!.
Miaka yako na matukio unayofanya real bado mdogo saana, utakuja kuwa jambazi gwiji na nimeongea na wadau ili wakuwahi kabla hujafikia 30yrs.
🤣🤣🤣 hapana Mkuu Mwisenge nili sali zamani kidogo na sina ushirika hapo......japo ndo nilikua na ishi mtaa huo zamaniNimefuatilia kujua kanisa gani hapo Musoma lipo maeneo uliyokuwa unafanyia unyang'anyi na kuambiwa ni Kanisa la waadventista Wasabato Mwisenge, lipo karibu na shule aliyosoma Our Father of Nation late JKN.
Pia najaribu kutafuta mawasiliano na hilo kanisa niulize malezi yao kwa mshiriki mmoja mmoja yakoje, maana si hali ya kawaida kumpa sifa kijana mdogo kama wewe kusema 'eti' watu wazima wanakukimbia sababu ukipata moto na ukishika panga lazima litumike, NO!.
Miaka yako na matukio unayofanya real bado mdogo saana, utakuja kuwa jambazi gwiji na nimeongea na wadau ili wakuwahi kabla hujafikia 30yrs.
wewe ni AMUK TU, acha ujinga tunafatilia story unaleta AMUKU HAPANimefuatilia kujua kanisa gani hapo Musoma lipo maeneo uliyokuwa unafanyia unyang'anyi na kuambiwa ni Kanisa la waadventista Wasabato Mwisenge, lipo karibu na shule aliyosoma Our Father of Nation late JKN.
Pia najaribu kutafuta mawasiliano na hilo kanisa niulize malezi yao kwa mshiriki mmoja mmoja yakoje, maana si hali ya kawaida kumpa sifa kijana mdogo kama wewe kusema 'eti' watu wazima wanakukimbia sababu ukipata moto na ukishika panga lazima litumike, NO!.
Miaka yako na matukio unayofanya real bado mdogo saana, utakuja kuwa jambazi gwiji na nimeongea na wadau ili wakuwahi kabla hujafikia 30yrs.
Kingine Mkuu utakua umenielewa vby me ninatoa ushuhuda kwenu kuwa nilikua mtu fulani na matukio niliyofanya nyuma, bado story inaendelea subir uone inaishaje kama bado ni mwizi or ni mtu mwema.Nimefuatilia kujua kanisa gani hapo Musoma lipo maeneo uliyokuwa unafanyia unyang'anyi na kuambiwa ni Kanisa la waadventista Wasabato Mwisenge, lipo karibu na shule aliyosoma Our Father of Nation late JKN.
Pia najaribu kutafuta mawasiliano na hilo kanisa niulize malezi yao kwa mshiriki mmoja mmoja yakoje, maana si hali ya kawaida kumpa sifa kijana mdogo kama wewe kusema 'eti' watu wazima wanakukimbia sababu ukipata moto na ukishika panga lazima litumike, NO!.
Miaka yako na matukio unayofanya real bado mdogo saana, utakuja kuwa jambazi gwiji na nimeongea na wadau ili wakuwahi kabla hujafikia 30yrs.
uyo AMUK achana naeKingine Mkuu utakua umenielewa vby me ninatoa ushuhuda kwenu kuwa nilikua mtu fulani na matukio niliyofanya nyuma, bado story inaendelea subir uone inaishaje kama bado ni mwizi or ni mtu mwema.
Kingine Mkuu utakua umenielewa vby me ninatoa ushuhuda kwenu kuwa nilikua mtu fulani na matukio niliyofanya nyuma, bado story inaendelea subir uone inaishaje kama bado ni mwizi or ni mtu mwema.
ila wabongo bwana,Nimefuatilia kujua kanisa gani hapo Musoma lipo maeneo uliyokuwa unafanyia unyang'anyi na kuambiwa ni Kanisa la waadventista Wasabato Mwisenge, lipo karibu na shule aliyosoma Our Father of Nation late JKN.
Pia najaribu kutafuta mawasiliano na hilo kanisa niulize malezi yao kwa mshiriki mmoja mmoja yakoje, maana si hali ya kawaida kumpa sifa kijana mdogo kama wewe kusema 'eti' watu wazima wanakukimbia sababu ukipata moto na ukishika panga lazima litumike, NO!.
Miaka yako na matukio unayofanya real bado mdogo saana, utakuja kuwa jambazi gwiji na nimeongea na wadau ili wakuwahi kabla hujafikia 30yrs.
Wanakutisha ujinga tu mbuzi hawa, mwaga vitu, hakuna hata anayekujua humu, weka story. Hukuwaogopa wakiwa kwenye difenda uso kwa uso , ndio uwaogope ukiwa nyuma ya keyboard aaagh!!unavyosema police utadhan kama naiogopa [emoji23] vyovyote itakavyokua
katika maandazi nyanya wewe ni namba moja mtu anatoa ushuhuda wake wewe unaleta udada kwenye story kaanze na wale wanaotoa shuhuda za kuua na kutoa mimba kanisani acha umbea broo uache tabia za kimamaNimefuatilia kujua kanisa gani hapo Musoma lipo maeneo uliyokuwa unafanyia unyang'anyi na kuambiwa ni Kanisa la waadventista Wasabato Mwisenge, lipo karibu na shule aliyosoma Our Father of Nation late JKN.