Hadithi ya kweli ya maisha yangu

Wewe ulikuwa ni mwizi sugu bila shaka utakuwa unaendelea na wizi ila kimya kimya mngetembelea mitaa nilipokuwa naishi na hakika sasa hivi ungekuwa kuzimu una busu miguu ya shetani..
Sio kilahisi mkuu ka ufikiravyo nilikua naangalia na nan wa kumuibia sikurupuki
 
Mzee ulikua unaiba hadi shetani akaona amepata mentor .. Kwa wizi huo unaweza jikuta unajiibia hata wewe mwenyewe
... All in all story kali na imetulia, pia upo humble sio kama watoa story wengine wanataka walambwe miguu ndo washushe vitu
😀😀😀 shukrani sana mkuu ila nimecheka kwa hyo comment
 
mkuu storry yako tamu sana aiseeeee
 
Hahahaaa ukaamua kwenda kujipooza kwenye friji ya watu.. Huyo jamaa hatokuja kukusahau aisee. Hiyo kujiponda na chuma na kujikata si ndio dawa za yule mganga hizo
 
sema mwamba ungekuwa unakaa dar then ungekuwa na izo harakati sasaivi ungekuwa kwenye amadawa vya kulevya (teja)
 
Wewe ulikuwa ni mwizi sugu bila shaka utakuwa unaendelea na wizi ila kimya kimya mngetembelea mitaa nilipokuwa naishi na hakika sasa hivi ungekuwa kuzimu una busu miguu ya shetani..
Huyu jamaa siyo mwizi ni jambazi alafu jiulize uliwahi kuona/kusikia wapi 'eti' mwizi kila siku yeye akamatwi wala hapigwi, kila siku yeye ndiye mtemi.

Kutokana na hiki kituko chake inaonekana ni yankee mdogo sana.
 
Afu jamaa panga lilikuwa haliludi nyuma, likitolewa inabidi lifanye kazi yake inayotakiwa
 
Hahahaaa ukaamua kwenda kujipooza kwenye friji ya watu.. Huyo jamaa hatokuja kukusahau aisee. Hiyo kujiponda na chuma na kujikata si ndio dawa za yule mganga hizo
yule mganga ni chenga tu hana lolote hyo ilikua ni accident kazini.
 
Huyu jamaa siyo mwizi ni jambazi alafu jiulize uliwahi kuona/kusikia wapi 'eti' mwizi kila siku yeye akamatwi wala hapigwi, kila siku yeye ndiye mtemi.

Kutokana na hiki kituko chake inaonekana ni yankee mdogo sana.
😂😂 labda me ndo cjui tofaut ya jambazi na mwizi....BTW bado miaka 4 nifike 30 uyank na uaga
 
🤣🤣🤣
Mkuu mshukuru Mungu alikunyang'a hiyo tabia mapema.Me nilikua naogopwa
 
Nimecheka mabishoo walivoingia cha kike na kukutana na watot wa mbwa mwitu wakapotezwa vibaya sana aijulikan waliingilia wapi walichukuklia poa poa tu upanga uka wa kosa kosa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…