Sweetcandle
Member
- Oct 24, 2014
- 35
- 15
Sehemu ya 02;
Nilipofika mferejini niliteka maji huku akili yangu yote bado ipo kwa john...mara nikawaza kujimwagia maji kidogo mgongoni na sehemu za nyuma ya makalio yangu ukijumlisha na umbile langu basi kama ni mwanaume kwel hawez kuchomoa...nikafanya kama nilivyokusudia na kujitwisha ndoo yangu tayari kwa kufanya mapinduzi...kabla sijafika eneo la tukio nilibadilisha staili za kutembea kama vile miss alioko kwenye mazoezi, na hatimaye nikakaribia eneo la tukio... Niliganda kwa mda nikiyatafuta macho ya John nisije nikapita tena nikamkosa.... mara nikamuona pembeni ya banda lake akimenya viazi huku akipiga mruzi..."yesssssss hapohapoo". Nikajisemea huku nikijaribu kuyaachia na maziwa yangu kidogo ili apagawe...nilipomkaribia alikuwa bado kainamia ndoo yake viazi nikaamua kumuita .."Joohhnn... !, naona umeshaingia kazini,.. nitakuja baadae na mimi leo nataka".. Niliongea kwa sauti ya kuremba sana huku macho yangu yakizunguka kifuani kwa John... Aliniitikia na mimi nikaendelea na safari yangu kwa madaa na kujiachia sana..niliamini wazi kwamba "KAONA"....
Nilifika nyumbani na kuendelea na shughuli zote za pale, ila nguo za baba nilifua mda mrefu sana kutokana na mawazo yangu kutokuwa pale .....mda mwingine nilijikuta nasmile na kujichekea mwenyewe, nikavuta picha nyingi za mimi na John kiasi cha kuhisi mwili wangu unasisimka sana....
Alinishtua mdogo wangu erick aliekuwa akichezea mpira wa mafuko na bahati mbaya ukanirukia Mimi.. .nilimgombeza kidogo maana nilihisi kama kanitoa kwenye ulimwengu fulani mtamu, ghafla nikakumbuka natakiwa kupika kabla baba hajarud kula mchana maana akikosa chakula uwa mkali sana, Mara moja nikaanika nguo na kuingia jikoni, baada ya hapo nikaenda kumsaidia mama kukata nyanya za kachumbari kwa ajili ya wanafunzi wa shule ya msingi waliozoea kutafuna samaki wa dogo.
Siku hiyo ulipita lakini nilijihisi tofauti sana,sijui kwasababu ya kumuwaza John mkaanga viazi..???aaarrgggh!"...
Usiku ulitimu watu wakala wakalala ...kama kawaida mimi huwa ndo wa mwisho kulala nyumban baada ya kuhakikisha kila kitu kipo sawa... Nilipoingia chumban kwangu usingiz uliniacha mbal na kusababisha nianze kuwaza kwa sauti...!" Daah John uh" ..unanichanganya mwenzio..us sh!".nikakumbuka nilimwambia ntarud kufata viazi, ni wazi nilijua siwez kurud nia yangu ilikuwa aone yaliyoumbwa yakaumbika!"..mawazo yangu nikiwa kwenye kigodoro changu tena peke yangu na giza lile...nikaamua nijimalize kwa kujichezea maziwa yangu huku nikiita jina la "John"... ,Sikumbuki vizur nililala saa ngapi ila niliposhtuka nilikuta mkono wangu kwenye Picchu na tayar kulikuwa kumekucha... Nikajitahid kukumbuka ya Jana kidogo nikajichekea na kuamka nilipokuwa.. .
**** ......*****......****
Nilipotoka nnje nikakuta mama kashaamka kitambo na baba pia ndo alikuwa anaondoka..nilimsalimia kwa mbali hakuitika, mama nae alinikata jicho ambalo sikujua kwann.... " Fanya ukatafute kuni huko sio unajisimamisha hapo kama mwali anaesubiri bwana"!...ilikuwa sauti ya mama iliyotoka kwa ukali Fulani na mimi sikuhoji zaid ya kuelekea shamban kutafuta izo kuni. ...baada ya mda nilirejea na mzigo wa kuni nikautupa chini na kuelekea bafuni, nikajimwagia maji na kujikalisha zangu nnje kwa uvivu, siku hyo baba hakurud kula nyumban mchana ivo nilipoona mda unaniruhusu nikaingia ndani na kupaka wanja wangu wa kiuchokozi...nikajipeleka kwa john...nilipofika kibandan kwake nikakuta pamefungwa..." Mmh kaenda wapi huyu au.......!" Aah ngoja niende anapokaa ..
Nikanyoosha hadi anapokaa John kwasababu nilidhamiria kumuona hlf napajua... (john anaishi na rafiki yake ambae wanasaidiana katika biashara ya kukaanga viazi).. Nilipofika nikamkuta rafiki yake anataka kutoka...nikamuuliza kama John nimemkuta?!..
"Ndio, John yupo lakini yupo bafuni anaoga..ingia ndani umsubiri Mimi kuna sehemu naenda huko Ashira"!.
Aah..sawa!.nikaitika huku nikijipa hongera za kimoyomoyo kwa wakati muafaka!"...
***......itaendelea
By; Sweet~Candle