moneytalk
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 8,040
- 16,870
AsanteeeKwani ukinywa maji lita moja nani atakuuliza kwa mfano?
AsanteeeKwani ukinywa maji lita moja nani atakuuliza kwa mfano?
Nilikuwa nimeleft ila umenirudisha wewe fata kilichokuleta apa haya ya kwetu achana nayo mkuuMnazingua sana anzisheni thread muitane huko ...
Makubwa hayaNakupenda sana shunie
Inatisha bwana nataka smart akiniteka awe pembeni nikiwa nasomaMfyuu embu acha uoga wako,inatisha wapi sasa



Ila chizi wewe unaniponza tunafukuzwa uku unanirudishakwani unateseka na nini
unajua wengine tunaumia roho jamaa anakubaliwa hivi hivi na sisi hatujui hata pa kuanziaNilikuwa nimeleft ila umenirudisha wewe fata kilichokuleta apa haya ya kwetu achana nayo mkuu
Hahahha hata wewe jamaniunajua wengine tunaumia roho jamaa anakubaliwa hivi hivi na sisi hatujui hata pa kuanzia
Itakuwa muda wa kulipia umefikaHuyu jamaa angekuwa anaweka ratiba, kwamba ni kila wiki au next episode anasema ataweka lini.
Hadithi nzuri ila ni kama anaidharau hadhira.
Unaonaje ukinitumia hata pesa mzee niwe nanunua bando la wiki nzima ili niwe nakuwekea kila siku? Halafu nanurekebishe network iwe ya kasi huku Mwanza? Fanikisha hayo boss...utaisoma kila siku hadi uchoke.Huyu jamaa angekuwa anaweka ratiba, kwamba ni kila wiki au next episode anasema ataweka lini.
Hadithi nzuri ila ni kama anaidharau hadhira.
Weka tulipie mkuuHii stori nitaimaliza hapahapa...ila utatakiwa kukumbuka cha bure kina gharama.
Gharama zipi tugharamieHii stori nitaimaliza hapahapa...ila utatakiwa kukumbuka cha bure kina gharama.