Hadithi, Simulizi au Riwaya gani bora kabisa humu JF ambayo umewahi kuisoma?

Basi jaribu siku moja ndugu,walau Soma page mbili tu...

Tena unabahati kweli maana ukifuatilia wachangiaji waliopita wameelezea riwaya ipi nzuri hii itakusaidia kujua uanze na riwaya ipi....

Ningependa uanze na riwaya inaitwa "SIRI" au "MKIMBIZI" kwangu Mimi Ni riwaya Bora zaidi nilizowahi kusoma hapa JF ila naona wachangiaji weengi wameiongelea VIPEPEO WEUSI ngoja niitafute inaonesha iko poa
Mkimbizi ipo full?
 
Wasalam wanajukwaa

Ni hadithi, simulizi, riwaya au hata chombezo umewahi kuisoma humu JF ambayo unaona ndo bora kabisa kuwahi kuisoma katika maisha yako?


Ni ipi simulizi, riwaya au hadithi bora kabisa ambayo unaona ndo the best ambayo imewahi kuletwa humu?

Au ni top 5 au ten bora ya simulizi humu ndani zilizowahi kuletwa humu?



Sent using Jamii Forums mobile app
1. Paniela
2.Duka la roho
3. Anga la washenzi
4.Joana anaona kitu USIKU
5. Mkufu wa malkia wa gosheni
6.Mwanafunzi mchawi
7. Njia nyembamba
8. Mdunguaji wa goma
9. Mkimbizi
10. Mtuhumiwa
11. Baradhuli mwenye mikono ya chuma
 
1. Paniela
2.Duka la roho
3. Anga la washenzi
4.Joana anaona kitu USIKU
5. Mkufu wa malkia wa gosheni
6.Mwanafunzi mchawi
7. Njia nyembamba
8. Mdunguaji wa goma
9. Mkimbizi
10. Mtuhumiwa
11. Baradhuli mwenye mikono ya chuma
Mwanafunzi mchawi season 2 ilitoka?
 
Katika zote zilizo tajwa hapo ni moja tu ambayo sikusoma.
Ila kwa mtu anaye taka kuanza kusoma nashauri aanze na hizi.

1 Baladhuli mwenye mikono ya chuma. Steve mollel
2 mpango wa Congo. Kudo
3 Kisasi . Frank Mushi.
4 Magnum 22. R. MWAMBE.
5 Peniela
6 Siri
7 Behind pain
8 Queen Monica
9 Before I die.
10 Miss Tanzania ( zote za Patrick ck.)
11 Roho yake inadai
12 Una nini Melissa
13 Mauaji ya Kasisi
14 Anga la washenzi
15 Uchu
16 Risasi 4
17 Mtuhumiwa
18 Wimbo wa gaidi
19 Tutarudi na Roho zetu.
20 Matata
21 hekaheka
22 Mifupa 206
23 Tai kwenye mzoga
25 Mimi na Rais
26 Duka la roho
27 Nyuma yako.
28 Chokoraa
29 Hatia
30 Barua kutoka jela.
31 Vipepeo weusi.
32 Serena
33 Msitu wa solondo
34 Hujuma
35 kufa na kupona
36 Roho mkononi
37 Julai 7
38 Najisikia kuua tena.
39 Mpango wa konda
40 Ripoti kamili
41 Ufukwe wa Madagascar
42 Wakili wa moyo
43 Macho ya bundi
44 Mkimbizi.
45 Njia nyembamba.
50 Mkufu wa malikia wa Goshen.
51 Kijijini kwa bibi
52 kurudi kwa moza
53 Angamizo.
54 Hampatra mji ulio potea.
55 Umsilopugaas
56 Mashimo ya mfalme suleimani
57 Mji tulivu ulio nipa gonjwa la ajabu
58 Nitarudi Arusha.
59 Nilipanga nyumba moja na majini.
60 Jini mweusi.
61 Mtu wa kazi
62 Passport ya gaidi.
63 Mwanamke Jini
64 Jini husnat
65 Msako wa hayawani.
66 Kisu chenye mpini mwekundu.
67 kikosi Cha kisasi.
68 Mimba ya Jini.
68 Jini wa daraja la sarenda.
69 Joana anaona kitu usiku.
70 Jini mauti.
72 Vita ya wachawi.
73 Mpenzi Jini.
74 Bring back our girls
75 The football
76 Muuaji mwenye tai nyekundu.
77Mke wa Rais ( RIP Ibra)
78 Mke wangu Juliana
79 Hofu ( musiba)
80 Hofu ( George Iron)
81 Isabella ndani ya mpango hasi.
82 Mdunguaji wa goma.
83 Harakati za comando Zedi na Jasusi Honda Somaria ( Kudo)
84 Sauti ya mtutu.
85 Kitisho.
86 Mamayangu adui yangu
87 Kikosi Cha Siri.
88 Code X3
89 Megic Ring.
90 Bruno the fisher men.
91 Nyumba ya dhambi.
92 Jasmine
93 Bomu.
94 Tax
95 T.O.H
96 Nyayo za damu.
97 michilizi ya damu.
98 Nitakupata tu.
99 Bondia
100 Dhahama.
101 Shambulio la damu
N.k
Nikikumbuka nyingine nitaziweka hapa karibuni kwenye ulimwengu wa wasomaji Kuna raha ya ajabu sana na mafunzo makubwa humu.
 
Steve mollel
Patrick ck
The bold
Kudo
Kelvin mponda
Simulizi ni nyingi kwa kweli, sema nyingi zina arosto
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom