Hadithi, Simulizi au Riwaya gani bora kabisa humu JF ambayo umewahi kuisoma?

toplemon

JF-Expert Member
Mar 26, 2017
4,581
4,631
Wasalam wanajukwaa

Ni hadithi, simulizi, riwaya au hata chombezo umewahi kuisoma humu JF ambayo unaona ndo bora kabisa kuwahi kuisoma katika maisha yako?


Ni ipi simulizi, riwaya au hadithi bora kabisa ambayo unaona ndo the best ambayo imewahi kuletwa humu?

Au ni top 5 au ten bora ya simulizi humu ndani zilizowahi kuletwa humu?



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wasalam wanajukwaa

Ni hadithi,simulizi,riwaya,au hata chombezo umewahi kuisoma humu jf ambayo unaona ndo bora kabisa kuwahi kuisoma katika maisha yako?


Ni ipi simulizi,riwaya au hadithi bora kabisa ambayo unaona ndo the best ambayo imewahi kuletwa humu?

Au ni top 5 au ten bora ya simulizi humu ndani zilizowahi kuletwa humu?



Sent using Jamii Forums mobile app
1.Miss tanzania - madame S
2.Before I die- LEGE

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ongeza
Ufukwe wa madagaska
Mtutu wa bunduki
Tai kwenye mzoga.
By Kevin Mponda..
Huyo mwandishi anajiona sijapata kuona dunia hii..Nilimcheki one day majibu yake yalinifanya nisifuatilie tungo zake.

Zingine ni..
President and I
Baba Paroko
Vipepeo weusi
Ha ha! Nilishawahi mcheki pia lkn alikuwa simple tu

Tai kwenye mzoga nilisoma nusu ila imekolezwa hiyo duh!! Kuna matendo mule mengine hata sikuyafurahia mateso utafikiri unaona kumbe unasoma tu😂😂
 
Ha ha! Nilishawahi mcheki pia lkn alikuwa simple tu

Tai kwenye mzoga nilisoma nusu ila imekolezwa hiyo duh!! Kuna matendo mule mengine hata sikuyafurahia mateso utafikiri unaona kumbe unasoma tu😂😂
Mie sikupenda majibu yake..
Mimi nilikua napenda dialogue tu sitaki kuhadithiwa jinsi wanavyopigana. Dialogue konkii ndio zilifanya niipende Game of Thrones
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom