Hadithi: Malaika wa shetani

Hahahaa mbona hujajihisi kuwa Shangwe au Shubiri?
Mhmh kwa sababu sijajua x-stics zao vzuri nahisi pia naweza kuwa kama wao if they are good guya...
Hivi mwandishi anafiliaje vitu kama hivi na anapanga vipi yani nashindwa hata kuelezea kwa sababu hyo writer anaandaa fasihi inayokaribiana na uhalisia i cant imagine for sure by the i like it
 
asante mkuu nameless, leo ntalala vizuri baada ya kusoma sehemu hii malaika wa shetan
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…