Hata mimi namuunga mkono
mizambwa, acha tu asiendelee, hata mimi stimu imeshakata kuisoma hii hadithi, kama watu waliijua hii hadithi walikuwa wapi kuileta? Mtu anatuletea simulizi wao wanaingilia kati hata kama ungekuwa ni wewe ungekata tamaa. Watu wanadhani kila mtu ana nafasi ya kuingia google na kugoogle hadithi, umeshajua hadithi inapatikana wapi ingia soma kisha kaa kimya tuache sisi tuendelee hapa JF