Bonge la story, mkuu tafuta namna ya kuingia mkataba na bongo muvi mtengeneze series yenye episodes za kutosha. Ushauri usiuze script, ingia mkataba uwe na hisa kwa kila kipande watakachouza.
Wakubali kuingia gharama waigize sehemu zote ulizotaja kuanzia mtwara mpaka Mwanza wapate mtu wa kuedit vizuri. Hakika itakua gumzo