Tupa kapuni.kijana hujui kutunga tatizo hunahongea sana pumba .mambutika wezio ndio watakao like huu hupumbavu .kwa msahada hii sio Facebook sawa we kijana akili mgando hunayefosi kazi za watu
Ahsante momma, hadithi nzuri sana, umenikumbusha mbali sana, kutaja kijiji cha nyamigota, nimewahi kufika vijiji hivyo, chibingo, nyamigota, ibondo, inyala na katoro yenyewe kufanya kazi ya kuelimisha wananchi miaka ya nyuma kidogo
Tupa kapuni.kijana hujui kutunga tatizo hunahongea sana pumba .mambutika wezio ndio watakao like huu hupumbavu .kwa msahada hii sio Facebook sawa we kijana akili mgando hunayefosi kazi za watu
Kaka Shaaban Hassan naomba basi unifundishe kutunga, niko tayari kuchukua kozi kwako, lakini weka kazi yako hata moja niione hapa. Nakuahidi nitakuwa mwanafunzi mzuri na mtiifu kwako.