Hadithi Hadithi.....

tatizo la wananchi wengi alikuwa goigoi sana. Ilifika wakati mkewe wa kwanza alimtukana sana eti ukila lazima uliwe...

Hii kauli ya mke wa wananchi wengi ilinikera sana, yaani alimtamkia live mumewe kuwa ukila lazima uliwe, jamani!!! inakera!!!
 
hongera..rejao atachafua hali ya hewa sasa hivi.

Sijaona cha maana hapo! nachoelewa CCM ni mwanaume amemuoa mke mkubwa CUF na juzi juzi kuna kimwana kipya kimejipendekeza na kufunga ndoa baada ya siku mbili tu ambacho ni CDM
 

Wakati wa ndoa ya Wananchi Wengi na CCM walibahatika kuzaa watoto baadhi ya watoto ni Edward Lowassa na Dr Harrison Mwakyembe. Edward alipendwa sana na Mama yake wakati Mwakyembe alipendwa sana na Baba yake. Wakati Mama akiwa anajirusha na wanaume tofauti tofauti Mwakyembe alienda kumwambia Baba yake. Ndoa ikaanza kuzorota ndipo Mama yao akamtuma kijana wake mpendwa amdhuru huyu kipenzi cha Baba hadi leo hii Mwakyembe yupo matibabu India.
 
naomba nikuongezee kido mtoto aliyezaliwa angeitwa KATIBA MPYA huyo katiba nadhani alikuwa ADOPTED na WANANCHI WENGI. lakini imetulia
 

Aah we noma big up sana!!
 
Mwanangu iyoo imetulia sanaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…