Mtoto anamuuliza baba yake;'baba,hivi ni kweli kila hadithi lazima ianze kwa maneno,"hapo zamani za kale......"? Baba mtoto akajibu;hapana mwanangu,hadithi nyingine zinaanza kwa maneno;"Endapo mtanichagua......."