HADITHI HADITHI...??!

Kwamba paste & copy! Yaani una-paste ndo una-copy? Taahira!!
 
Huyo mtoto hakutakiwa kuwa kwenye huo msafara. Kama kuna kituo cha polisi kiko jirani amwache hapo. Atampitia akimaliza Safari. Cha pili arejee malengo ya safari na asichukue shortcuts kwa kufikiria atafika mapema, kuna kupotea njia.

Haya fikisha ujumbe kwa wasafiri.
 
Kwani huyo mtoto ana Vyeti? Mwambie avitoe Vyeti kwanza, makelele yataisha. Huyu Baba ana Mahaba mazito na Mwanae.

 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…