Endelea mkuu ili tusisahau sahau maoni zaidi utayapata sana kukiwa hakuna arostoUkimaliza kusoma naomba like na maoni yako tafadhari[emoji4][emoji120]
MmeanzaMda mwingine nakosa bando jamani [emoji23][emoji23]
Pengine ulipozingua ni hapo kwenye sentesi ya kwanza kabisa, umeandika "Ilikua Alfajiri Saa Kumi na Mbili na Robo halafu kwenye mabano umeandika [12:45 - Saa Moja Kasoro Robo au Saa Kumi Na Mbili Na Dakika Arobaini Na Tano].Hapo kweli nimezingua [emoji23]
Nimekuelewa ilikuwa afariji ya saa moja kasoro robo [ 6: 45am] hivi ndo inatakiwa kuwaPengine ulipozingua ni hapo kwenye sentesi ya kwanza kabisa, umeandika "Ilikua Alfajiri Saa Kumi na Mbili na Robo halafu kwenye mabano umeandika [12:45 - Saa Moja Kasoro Robo au Saa Kumi Na Mbili Na Dakika Arobaini Na Tano].