Hadidu za Rejea, Ni kweli wanachokisema CDM?

Mtego wa Noti

JF-Expert Member
Nov 27, 2010
2,591
1,599
Wanajamii mi kuna kitu kinanichanganya maka sasa. wanaharakati na cdm wanasema ktk mswaada huu wa kuunda mchakato wa katiba, rais kapewa mamlaka ya kuunda hadidu za rejea kwa wajumbe atakaowachagua. wakati huohuo kule dodoma mjengoni wabunge wa ccm na wenzao wanasema hadidu za rejea ziko ndani ya huu mswaaada. sasa sisi wengine ambao mambo ya kisheria yametupita kando kidogo tumwamini nani? hivi inawezekana wabunge wa ccm wanaosimama pale mjengoni wanaposema eti hadidu ziko kwenye mswaada wanatuiga changa la macho?
Ninaomba msaada zaidi wa kitaalamu kuhusu hili suala maana sasa tunachanganyikiwa.
Nawasilisha!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom