jingus
JF-Expert Member
- Nov 17, 2013
- 472
- 317
Jina lako tu limeshasadifu mada yakoNashangaa watu wanatokwa mapovu Mara Magufuli ni chaguo la mungu
Mara anatetea wanyonge
Mara anatetea rasilimali za nchi
Mara mzalendo
Mara aongezewe muda wa kuongoza wakati hata miaka 2 hajatimiza kwenye uongozi wake
Mimi kama mtanzania ninaejielewa,ninaejua baya na zuri sioni cha kumpongeza Magufuli hadi sasa
Naona jamaa kazidi tu kuleta Shida na taabu kwa wananchi.
Post sent using JamiiForums mobile app