sanjomnyama
JF-Expert Member
- Mar 20, 2016
- 261
- 160
- Thread starter
- #21
Ok means (watatujulisha)"Tusanua"???? ndo nini wengine hatujui hicho kiswahili😡😡🙁🙁🙁🙁
Ok means (watatujulisha)"Tusanua"???? ndo nini wengine hatujui hicho kiswahili😡😡🙁🙁🙁🙁
udom? ulikosa chuo kingine, any way kama muda wa kutoa selection subiliWakuu habari zenu, jaman Mimi nimemaliza kidato cha 4(form4) mwaka jana2015 hivyo nikaamua Ku apply UDOM kozi ya (Medical laboratory Technology) in Diploma;mwezi wa 8 tare 10 mwaka huu (2016)na maombi niliombea pale pale Chuoni lakn kwa njia ya mtandao sasa hadi leo hawajanijibu chochote nikiangalia kwa Website yao hamna chochote.
Ushauri wadau naombeni mnisaidie kwa hili nifanyaje
Mkuu kwani UDOM kuna nini??udom? ulikosa chuo kingine, any way kama muda wa kutoa selection subili