Hadi sasa nimeshatumia 12,000$ kwenye matangazo Instagram (Facebook). Je, Serikali huwa inakusanyaje Income tax kwa hii kampuni?

Mimi swali langu halipo hapo.

Lipo hapa kwenye kusema akiwasilisha nyaraka zake IRS ataijumuisha na hii dola 12000? Akiijumuisha si itasababisha double taxation?

Hilo ndiyo swali langu.
Sheria yao isiathiri sheria yetu, hata akipigwa kodi mara 10, hio ni juu yake, hapa tunaongelea kodi stahiki ya mapato kwa mapato aliyovuna nchini, period.
 
Awe anatangaza kweli au hatangazi kweli ila mleta mada anayo hoja! Hizi online payment zinazolipwa Google, Facebook and Instagram, wafanya biashara wanazifile vip ili TRA iweze kuona kuna malipo yamelipwa na kodi yao iweze kupatikana!

Hii inakuwa hasara kwa serikali na kwa wafanyabiashara pia! Maana mfanyabiashara mwisho wa siku hawezi kuonyesha ile hela kaitumiaje!

Nashauri serikali iingie makubaliano na hizi kampuni wawe na ofisi Tanzania, malipo yakifanyika receipt za Efd zipatikane pia, watu waweze kuzifile TRA, otherwise a lot of money is being lost!
 
Mwigulu kasema mwaka ujao wa fedha wataanza kuchukua kodi huko.
Kama ni kweli basi itakuwa vyema, haiwezekani tunakamuliwa kodi kwenye mafuta, miamala na laini za simu, halafu wengine wanakula mtelezo wa ganda la ndizi mwanzo mwisho, no way!
 
Dola elfu kumi na mbili ni pesa ndefu lakini hivi mfano fb imesajiliwa Marekani. Means taarifa zao za mapato na matumizi wanaziwasilisha IRS ambao ndiyo wanaipokea hiyo kodi.

Ikatokea kwamba na hapa wanalipa kodi si itakua double taxation?

Naifananisha na ishu ya mabondia wanapoenda kupigana nje ya nchi zao mfano Manny Pacquiao alikua anapigana Marekani alivyorudi Ufilipino wakamfungia akaunti zake kwa kukwepa kodi.

Utetezi wa Manny ukawa ni kwamba kodi alishakatwa Marekani, Ufilipino wakakomaa kwamba iweje wakati yeye ni mfilipino na anatakiwa kodi awalipe ufilipino. Manny akajibu ni kwakua alipigana Marekani na pesa alilipiwa kule Manny akawa anajitetea kukwepa hii double taxation.

So kwa fb itakuaje? Akatwe kodi kwa dola 12000 na TRA kisha mwisho wa mwaka akipeleka taarifa za mapato na matumizi IRS wamkate kodi ya hiyo hiyo dola 12000.
Bado ninaiona challenge hapa hasa kwa mimi nisiye mtaalamu wa mambo haya ya kodi. Vipi kuhusu Azam , kwa mfano? Yeye anauza mpaka Kongo, Kenya, Sudan ya kusini n.k.,je, halipi kodi huko nje kwakuwa analipa hapa nyumbani? Hebu dadavua hii
 
Bado ninaiona challenge hapa hasa kwa mimi nisiye mtaalamu wa mambo haya ya kodi. Vipi kuhusu Azam , kwa mfano? Yeye anauza mpaka Kongo, Kenya, Sudan ya kusini n.k.,je, halipi kodi huko nje kwakuwa analipa hapa nyumbani? Hebu dadavua hii
Yaani hapa umembananisha vizuri hadi raha..
 
Bado ninaiona challenge hapa hasa kwa mimi nisiye mtaalamu wa mambo haya ya kodi. Vipi kuhusu Azam , kwa mfano? Yeye anauza mpaka Kongo, Kenya, Sudan ya kusini n.k.,je, halipi kodi huko nje kwakuwa analipa hapa nyumbani? Hebu dadavua hii
Yaani hapo mi mwenyewe ndiyo nilikua namuuliza mleta uzi.
 
Ofisi zao hawa Facebook kwa hapa Dar ziko wapi? Na kwa mabilioni yote haya wanayochuma kama faida toka nchi Tanzania, wanalipa kodi ya mapato (income tax)? Na wanailipaje?

Maana itakuwa sio fair makampuni mengine kama Wasafi Media, Clouds Media, IPP media na wengine walipe kodi ya mapato na zingine kibao, halafu mshindani wao wa moja kwa moja katika kugombania matangazo hayo hayo yeye halipi kodi, FCC wanalipi la kusema?


Wana jamii forum mnaandaliwa kutapeliwa
 
If what I said is not true, then you should not be offended, do not call me Comred, CCM corn-men use that name.
Wewe ni shoga, you are a homosexual, if this is not true, then you should not be offended either, 🤝
 
Back
Top Bottom