Hadi sasa nimeshatumia 12,000$ kwenye matangazo Instagram (Facebook). Je, Serikali huwa inakusanyaje Income tax kwa hii kampuni?

==================================
Update: 01/09/2021
Mwigulu ameliona suala hili

 
Mjadala ukifikia hitimisho mnistue
==================================
Update: 01/09/2021
Mwigulu ameliona suala hili

 
Hiyo bidhaa hata ingetangazwa na JF bado ingewafikia tu wateja, ishu hapa ni kwamba wanaingiza mapato toka Tanzania, kwanini hakuna mfumo wa kuchukua income tax kwa income waliyovuna? Why??!!!
Hiyo itakua ngumu sana. Hivi tunavyoingia tu mtandaoni si tunatumia data? Pale serikali haipati kodi kwenye megabytes??
 
......wale jamaa wanachouzia ni coverage kubwa na analytical tools ambazo ni most advanced, mfano unaweza kuweka Tangazo la nguo kwa hawa kina fb na google na likawa linawafikia watu ambao utaamua wewe mfano wenye umri fulani ambao ndio size ya hiyo nguo, wanaoishi ukanda fulani ambao ndio rahisi kuwapelekea hizo nguo lakini pia wenye interest tayari na nguo ambao wanaidentify kupitia cookies kutoka kwenye website watu wanazovisit...hapa kazini kwetu wanaweza kuweka Tangazo ambalo halitaonyeshwa kwa wanaotafuta ajira, watoto na mid range wanafunzi wanajua kabisa hawo hawawezi kuwa wateja wao...kiufupi ni kuwa hawa jamaa wamewekeza kiasi kikubwa sana kwenye advertising na wana profile/Data za wanadamu wengi sana kuwahi kukusanywa hali amabayo inawawekea ngumu sana local advertisers kushindana nao.
Uko sahihi kabisa
 
 
Back
Top Bottom