Hadi nimechukia kabisa

Joined
Jul 4, 2013
Posts
18
Reaction score
13
A:Yaani mie napenda ila sipendwi,aah yaani nimechukia kabisa hadi nimeacha kuoga...
B:Yaani mie nakuita hata huitiki,aah yaani nimechukia hadi nimepoteza hela....
C:yaani mie nimeanguka shimoni hadi nimeteguka mguu,kweli nimechukia kabisa mpaka nimelala nikapitiwa na usingizi nilipolala...
D:yaani nimepanga tulime kwa siku 7 wewe umemaliza kwa siku 2,hizo siku 5 nitakuwa nafanya nini?,we mwanamke hunifai,yaani nimechukia kabisa hadi unipikie uji kwa hasira nilizonazo...
E:yaani wewe mtoto wa kike umeumbika vizuri kunizidi! yaani nimechukia sana hadi nimekupenda sana kwa hasira nilizonazo juu yako....
oyooo! kama vipi tupia kilichokuudhi na maamuzi uliyochukua...WJ MP-ZE SNOWMAN
 
yaani nimepanga tulime kwa siku 7 wewe umemaliza kwa siku 2,hizo siku 5 nitakuwa nafanya nini?,we mwanamke hunifai,yaani nimechukia kabisa hadi unipikie uji kwa hasira nilizonazo...
  • .........Hapo ni majanga
 
Hapa nimepotea njia..... yani nimechukia mpaka basi
 
humu jukwaani kuna jokes nyingi zenye uhusiano wa mapenzi. nimechukia hadi nimeamua kupekua threads zote zenye mambo ya mapenzi hadi wiki hii iishe..teh teh
 
humu jukwaani kuna jokes nyingi zenye uhusiano wa mapenzi. nimechukia hadi nimeamua kupekua threads zote zenye mambo ya mapenzi hadi wiki hii iishe..teh teh

kwe! kwe! kwe! kwe! kwe! mbavu zangu jamani..
 
leo nimechelewa kuamka kwenda kazini, yaani nimechukia mpaka nimeaua kwenda kwa miguu
 
Nalog off
 
Last edited by a moderator:
nimechukia kufungua hii thread hadi nimeamua kuzima laptop
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…