“Hadi kufikia June 30, 2019, Deni la Serikali limefikia Tsh. Tril. 53.11 ambapo deni la ndani ni Tril. 14.86 na la nje ni Tril.38.24

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Jun 12, 2012
4,572
26,868
“Hadi kufikia June 30, 2019, Deni la Serikali limefikia Tsh. Tril. 53.11 ambapo deni la ndani ni Tril. 14.86 na la nje ni Tril.38.24, ni ongezeko la Tril 2.18 (4% ) ukilinganisha na lililopita, ongezeko la deni limesababishwa na riba ya mikopo halisi na kushuka kwa thamani ya shilingi, deni hili linaendelea kuhimilika”- CAG, Charles Kichere mbele ya JPM
#MillardAyoIkuluUPDATES
 
Inawezekana awamu hii ikaongoza kwa ufisadi
 
“Hadi kufikia June 30, 2019, Deni la Serikali limefikia Tsh. Tril. 53.11 ambapo deni la ndani ni Tril. 14.86 na la nje ni Tril.38.24, ni ongezeko la Tril 2.18 (4% ) ukilinganisha na lililopita, ongezeko la deni limesababishwa na riba ya mikopo halisi na kushuka kwa thamani ya shilingi, deni hili linaendelea kuhimilika”- CAG, Charles Kichere mbele ya JPM
#MillardAyoIkuluUPDATES
Hii ni dalili mbaya kiuchumi na kiserikali. Nchi hii inadanganya kila siku kuwa makusanyo ya TRA yamepanda, na uchumi unakuwa. Najiuliza kama Uchumi unakuwa na makusanyo yako juu kwa nini DENI la Serikali likue?
Njia ya mwongo ni fupi! Mumedanganya miaka 4 kuwa mnakusanya kodi kuliko Serikali za Awamu tangulizi kumbe ni takwimu za UWONGO.

Halafu Serikali inakurupuka kuwekeza kwenye miradi inayoitwa TEMBO MWEUPE ambayo kwanza inakula fedha nyingi, haizalishi, ni inachukua muda mrefu kukamilika.

Watu wakiwashauri au kuwakosoa mnawapiga RISASI au mnawafungulia KESI ZA KUTAKATISHA FEDHA.

You can Rig Elections But You can't Rig Economic Growth.
 
Hivi ni sifa kkukopesheka?Ama huwa ni lazima tukope?Mbona ndege hatukopi?Miradi tunajenga kwa fedha za ndani lakini bado tunakopa?Hii ndiyo nini? Ufisadi au uhujumu uchumi?
Can't you respond?
Yes kukopa ni sifa na kukopesheka ni sifa, kwasababu unaonyesha uwezo wa kulipa.
Hakuna nchi inaweza kupata maendeleo bila kukopa, hata nchi tajiri no.1 duniani, Marekani, inakopa kutoka China.
Kuomba au kutembeza bakuli ndio aibu na fedheha.
P
 
Miradi mingi mikubwa ndio inasababisha hilo deni liongezeke, kwanini asifanye mradi mmoja ukimalizika ahamie mwingine? haraka ya nini, hata Roma haikujengwa kwa siku moja.

Mikopo ya China mara nyingi tunaaminishwa haina riba kubwa, sasa mbona hapo Kicheere amekiri riba ni kubwa!.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yes kukopa ni sifa na kukopesheka ni sifa, kwasababu unaonyesha uwezo wa kulipa.
Hakuna nchi inaweza kupata maendeleo bila kukopa, hata nchi tajiri no.1 duniani, Marekani, inakopa kutoka China.
Kuomba au kutembeza bakuli ndio aibu na fedheha.
P
Hizo nchi zinakopa lakini pesa yao ina thamani, sisi pesa yetu haina thamani, hivi uko sawa kweli upstairs kutulinganisha na U.S.A?!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi ni sifa kkukopesheka?Ama huwa ni lazima tukope?Mbona ndege hatukopi?Miradi tunajenga kwa fedha za ndani lakini bado tunakopa?Hii ndiyo nini? Ufisadi au uhujumu uchumi?
Can't you respond?
Ndege hatukopi???kalaghabao mbwembwe za kwenye majukwaa zisikudanganye mkuu.Why else do you think deni linakua hivi?
 
Back
Top Bottom